888I
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 472
- 581
Uchaguzi Mkuu 2025: Je, unajua takwimu hizi muhimu?
📍 Jumla ya wapiga kura — Zaidi ya 37.6 milioni!
📍 Idadi ya Wanawake ni kubwa kidogo vs Wanaume
📍 Vituo vya kupigia kura — Karibu 100,000, vimeongezeka kwa 22%!
Takwimu hizi zinaonesha maandalizi ya uchaguzi.
Siku ya Kupiga kura ni Oktoba 29, 2025.