GE2025 Uchaguzi mkuu 2025, Je, unajua takwimu hizi muhimu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

888I

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
472
Reaction score
581
Uchaguzi Mkuu 2025: Je, unajua takwimu hizi muhimu?

πŸ“ Jumla ya wapiga kura β€” Zaidi ya 37.6 milioni!
πŸ“ Idadi ya Wanawake ni kubwa kidogo vs Wanaume
πŸ“ Vituo vya kupigia kura β€” Karibu 100,000, vimeongezeka kwa 22%!

Takwimu hizi zinaonesha maandalizi ya uchaguzi.
Siku ya Kupiga kura ni Oktoba 29, 2025.
 
Uchaguzi hakuna mwaka huu bila ya reforms kufanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…