Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Upigaji kura ulimalizika jana tarehe 29.05.2024. Zoezi linaloendelea sasa ni uhesabuji wa kura.
Wapiga kura waliojiandikisha ni zaidi ya 27m. Watu walijitokeza kwa wingi kupiga kura. kulikuwa na utitiri wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi huu.
ANC, EFF, DA na MK hivi vikiwa ndio vyama vinavyowania kupata viti vingi vya ubunge ili kupata ridhaa ya kuunda serekali.
Kwangu Mimi, nilifurashwa na kupendezwa na campagne cha chama cha EFF cha Julias Malema. Kampeni zilikuwa za moto. Malema aliwapigisha kwata maelfu ya wa SA huku wakiwa wamevalia flana na kafia ya aina ya barret nyekundu. Ukiangalia kampeni zilivyokuwa zikienda ni dhahiri utaona Malema na EFF wanakwenda kushinda uchagu huu.
Kinyume na matarajio ya wengi chama cha EFF kina kura 400000+ tu. Huku kikiwa nyuma ya kile cha DA na MK cha Comred Zuma.
Julius malema na EFF mpaka sasa walichopata na nguvu kubwa walizoonyesha kwenye kampeni hazifanani na kile walichopata. 8% ya kura zote zilizohesabiwa zinaashiria mwisho mbaya. Hii itakuwa ni fedheha na aibu kubwa kwa chama cha EFF.
Mpaka sasa ANC inaongoza kwa 42%, DA 18%, MK 8% na EFF 8%
Kura zote zilizohesabiwa ni kama kura 3m
PIA SOMA
- Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini: Upigaji Kura umeanza leo, 32% ya Wananchi hawana Ajira