Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini, EFF na Julias Malema, wanaenda kupata aibu ya karne

Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini, EFF na Julias Malema, wanaenda kupata aibu ya karne

Ila sikutarajia kabisa, mwanzoni ilionekana kama EFF ndio itachukua kura za ANC. Cha ajabu MK imepindua meza!! Sikujua kama Zuma ana influence kubwa kiasi hiko!! Suprise nyingine ni DA kuongeza kura wakati it seemed kilikua kinapungua ushawishi.
Sio rahisi kwa EFF isiyo na majority hata jimbo moja la uchaguzi kuchukua kura za ANC kwa sasa. ANC bado ina nguvu sana kwenye majimbo kadhaa yenye wapiga kura wengi.

Huu uchaguzi wa sasa katika majimbo yote 9 umeonekana kuleta ushindani zaidi wa vyama katika majimbo mawili makubwa yenye wapiga kura wengi: Gauteng na KwaZulu-Natal. Majimbo mengine yote yaliyobaki yamekuwa chini ya ANC kasoro Western Cape (ngome ya DA).

Matokeo mpaka sasa, MK inaongoza KwaZulu-Natal (ngome ya ANC) ambako ndiko Zuma ana ushawishi zaidi (nyumbani). Hilo ni pigo kubwa kwa ANC ndio maana mpaka sasa haijafikia majority kwenye kura zote hadi sasa.

Kitendo cha DA kuongeza kura ni surprise kwa wengi ingawa kinaeleweka ukizingatia mapungufu ya ANC kisera/kiutawala. Wanachofanya DA ni "kukimbiza mwizi kimyakimya". Wanaendelea kupunguza ushawishi wa ANC katika majimbo ambayo yamekuwa chini ya ANC miaka yote.
 
Israel na South Africa hawana mahusiano mazuri, sio suala la Malema tu..ni South Africans wengi hata serikali..mfano aliyeipeleka mahakami Israel ni Malema au ni serikali ya South Africa???
Wakati wa Apartheid Isreal ilikua ikiwauzia silaha makaburu na kuwaunga mkono....
Hiyo sio sababu, wakati wa ubaguzi wa rangi Tanzania tuliwapigania sana hawa watu lakini leo ili mtanzania ili aingie SA lazima awe na visa wakati Kenya ambao hawakuwasaidia chochote hawahitaji visa kuingia SA...!!
 
Back
Top Bottom