FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Umeongea vice versa. Technically, EFF ni chama cha kibaguzi kuliko DA.Hadi DA chama cha kibaguzi kinafanya vizuri kuliko EFF? Tatizo Malema hujuaji mwingi, madharau, kiburi, kujiona na misifa.
Ila sikutarajia kabisa, mwanzoni ilionekana kama EFF ndio itachukua kura za ANC. Cha ajabu MK imepindua meza!! Sikujua kama Zuma ana influence kubwa kiasi hiko!! Suprise nyingine ni DA kuongeza kura wakati it seemed kilikua kinapungua ushawishi.Hao EFF wanajimaliza wenyewe kwa sera zao mbovu.
Sio rahisi kwa EFF isiyo na majority hata jimbo moja la uchaguzi kuchukua kura za ANC kwa sasa. ANC bado ina nguvu sana kwenye majimbo kadhaa yenye wapiga kura wengi.Ila sikutarajia kabisa, mwanzoni ilionekana kama EFF ndio itachukua kura za ANC. Cha ajabu MK imepindua meza!! Sikujua kama Zuma ana influence kubwa kiasi hiko!! Suprise nyingine ni DA kuongeza kura wakati it seemed kilikua kinapungua ushawishi.
Hiyo sio sababu, wakati wa ubaguzi wa rangi Tanzania tuliwapigania sana hawa watu lakini leo ili mtanzania ili aingie SA lazima awe na visa wakati Kenya ambao hawakuwasaidia chochote hawahitaji visa kuingia SA...!!Israel na South Africa hawana mahusiano mazuri, sio suala la Malema tu..ni South Africans wengi hata serikali..mfano aliyeipeleka mahakami Israel ni Malema au ni serikali ya South Africa???
Wakati wa Apartheid Isreal ilikua ikiwauzia silaha makaburu na kuwaunga mkono....