Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Mbona hizo races sijazielewa je, hao coloured na hao blacks ni race mbili tofauti? Naomba ufafanuzi Kwa mwenye uelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao coloured ni machotara wa Kiafrika (Afrikaans). Wana mchanganyiko wa rangi kati ya Mwafrika mweusi na jamii zingine (Europeans, Asians n.k.).Mbona hizo races sijazielewa je, hao coloured na hao blacks ni race mbili tofauti? Naomba ufafanuzi Kwa mwenye uelewa.
Huenda wewe mwenyewe ndiye ambaye umekosa "chama pinzani cha kueleweka" ndani ya Tanzania.Wasauzi wameichoka ANC kama watz tulivyoichoka CCM, chama kimeoza.
Tanzania tulichokosa ni chama pinzani cha kueleweka, Hawa Chadema wakipata madaraka wanaweka uongozi wa majimbo kama Kenya na Nigeira, yani kila jimbo liwe na kaserikali kanajitegemea, Hii italeta Ukabila na udini na hata vita kwa majimbo yatayotaka yawe nchi huru.
Ukabila,udini hizo propaganda za kisiasa ukitaka kuendelea kwa jambo lolote just try something different na sio nadharia.Ukifikiria safari ya Christopher Columbus kutoka ulaya kwenda united States of America kuvuka bahari ya Atlantic kwa kutumia mtumbwi angekuwa anawaza , dhoruba,mvua upepo ,mawambi tusingekuwa na marekani ili tuendee let's us take a risk.Wasauzi wameichoka ANC kama watz tulivyoichoka CCM, chama kimeoza.
Tanzania tulichokosa ni chama pinzani cha kueleweka, Hawa Chadema wakipata madaraka wanaweka uongozi wa majimbo kama Kenya na Nigeira, yani kila jimbo liwe na kaserikali kanajitegemea, Hii italeta Ukabila na udini na hata vita kwa majimbo yatayotaka yawe nchi huru.
Zaidi yakoUpo makini lakini Mkuu?