Wasauzi wameichoka ANC kama watz tulivyoichoka CCM, chama kimeoza.
Tanzania tulichokosa ni chama pinzani cha kueleweka, Hawa Chadema wakipata madaraka wanaweka uongozi wa majimbo kama Kenya na Nigeira, yani kila jimbo liwe na kaserikali kanajitegemea, Hii italeta Ukabila na udini na hata vita kwa majimbo yatayotaka yawe nchi huru.