Uchaguzi mkuu JF, tumchague rais hapa

Uchaguzi mkuu JF, tumchague rais hapa

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Huu ni uchaguzi mkuu jf ambapo tutampendekeza mtu kwa kumtaja kwa kupjga kura. atakayependekezwa zaidi kwa kushika nafasi ya kwanza na ya pili ndio watakua wagombea rasmi humu Na kura ya mapendekezo itapigwa hapahapa kwa kucomment jina la mwana jf unayempendekeza

Mwisho wa kupiga kura ya mapendekezo ni kesho jumatano tar 28 saa 10 kamili jioni na atakayepiga kura baada baada ya hapo itakua batili
Atakayepiga mara mbili ni kosa

Na wagombea hawa wawili watateua makamu wao wagombee pamoja ambapo watateua kiongozi wa kila jukwa ama mwakilishi
Lengo ni kuleta umoja na mshikamano wetu wanajf

Long live jamiiforums
 
Lengo ni kuleta umoja na mshikamano miongoni mwetu rais kazi yake ni kujenga mshikamano zaidi miongoni mwetu
ili jf ikue na kudumu
 
Nachagua mod yoyote mkali awe rais. (Yule ambae kuipata like yake ni bahati nasibu)
 
ni vyema tukataja jina la mhusika mfano @jf
 
Mimi Dume suruali ..Natangaza kugombea nafasi hii, Nawaahidi;

1)Mkinichagua kutakuwa hakuna Ban kwa yeyote yule

2)Nitakuwa natoa pesa za Vocha kila siku ili kila member aweze kuingia jf

3)kutokana na member wengi wa kiume(madomo zege) ambao wanatafuta watoto wazuri humu jf bila mafanikio, NATOA AHADI mkinichagua basi mimi nitawaunganishia moja kwa moja kwa demu unayemtaka humu jf (kwani nina phd ya kutongoza) hivyo basi watoto wazuri Kama akina
Miss Natafuta
miss chaga
Nifah
Evelyn Salt
Heaven Sent
faiza foxy
Mama facebuku
Joanah
Scorpio me
Shunie....etc

Kwani wote hawa nina namba zao

Nikiwa rais nawaahidi MTAWAPATA
Chagua dume suruali kwa maendeleo ya jamii forum.

_dume suruali_
 
Mimi Dume suruali ..Natangaza kugombea nafasi hii, Nawaahidi;

1)Mkinichagua kutakuwa hakuna Ban kwa yeyote yule

2)Nitakuwa natoa pesa za Vocha kila siku ili kila member aweze kuingia jf

3)kutokana na member wengi wa kiume(madomo zege) ambao wanatafuta watoto wazuri humu jf bila mafanikio, NATOA AHADI mkinichagua basi mimi nitawaunganishia moja kwa moja kwa demu unayemtaka humu jf (kwani nina phd ya kutongoza) hivyo basi watoto wazuri Kama akina
Miss Natafuta
miss chaga
Nifah
Evelyn Salt
Heaven Sent
faiza foxy
Mama facebuku nk....

Na wanawake unawaahidi nini??
 
duh huyo faiza fox kumbe nae ni mtoto mzuri
 
atakayetajwa zaid ama kupendekezwa na watu wengi kuliko wenzake ndo atakua rais wa jf
 
Back
Top Bottom