Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu; Kuna haja ya kuchagua wanaojitengenezea kinga wasishtakiwe?

Hawatufai hao sasa zamu TL kosa hili LA JK kukataa kubadili katiba na kumleta huyu bwana aje kuharibu sasa anataka kutoguswa
 
Miaka ya 99 kurudi nyuma wabunge wa jinsia ya kiume walikuwa wanapanga guest chumba kimoja hapa dodoma.
Ndipo ilipozaliwa hakuna watu wa jinsia moja kulala chumba kimoja.
Naona sijaeleweka, Tukiachana na suala la ushoga; je Ni halali kumuchangua mtu anaetangaza Nia ya kugombea urais Tanzania huku akiwa Ubelgiji?
 
Wanajiandaa kukwepa rungu la Tundu mara aingiapo Ikulu asiwashughulikie
Hivi ujinga kama huu wa Ndugai, kama in mie naingia madarakani naondoa kwanza kinga yake na kumshughulikia
 
Hamna haja, usiwwchague mkuu.
 
"Katika uchaguzi huu Kuna haja ya kuchagua watu wanao support ushoga?"

"Katika uchaguzi huu Kuna haja ya kuchagua watu wanaotangaza Nia ya kugombea urais wa Tanzania huku wakiishi ulaya(kwa mabeberu)?"

Ninasema siku zote, kuna baadhi ya watu ni aibu kujitambulisha kuwa ni waTanzania. Wewe ni mmoja wao!!

Hivi kweli ushoga ni issue kubwa kwa jamii yako kuliko haki zako zitakazochukuliwa?? Una haki ya kutomchagua aliyetangaza kugombea kutoka ughaibuni. Na haki kama hiyo anayo mwingine pia. Sijui hata kama unafahamu haki ni nini.

Na huenda huna hata uwezo wa kuwaza kingine chochote isipokuwa kukwepa ushoga, kuvuka barabara, kuoga nk. Tanzania inahitaji watu wanaowaza mambo makubwa!!

Think Big and outside the box, bro!
 
Kwahiyo huyo mbeligiji anaeteteaga ushoga na kumubiri Rais wetu huko nje kwa mabaya ndo anaona mbali na ku think out of the box?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…