Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Japo alipitishwa na chama kugombea nafasi ya urais baada ya marehemu Edward Lowassa na Bernard Membe kuvurugana, angalau alipitishwa kiushindani na demokrasia ndani ya chama. Kwa namna CCM ilivyotengeneza mzengwe na kumpitisha Samia Suluhu Hassan na Emanuel Nchimbi, kuna uwezekano uchaguzi ujao ukawa na rafu mbaya kuliko ule wa mwaka 2020.
Je tutegemee uchakachuaji mkubwa kuliko ule wa 2020? Je CCM wameogopa nini? Je kweli Samia anakubalika au mambo ni vinginevyo kiasi cha kulazimisha kupitishwa bila kupingwa? Je waliokuwa wakitegemea kumenyana naye watafanya nini? Je tutegemee mmeguko wa machawa?