neema shamuhenya
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 312
- 216
Jamani Tujipange kwa Kumpigia kura Rais wetu JOHN MAGUFULI, tusikubali kupoteza Kura zetu huyu ni Rais Mchapa kazi na Mtetezi wa Wanyonge atarudi tena kwa kishindo kikubwa Oktoba, 2020.
Tukumbushane kidogo baadhi ya Mambo au Miradi inayotekelezwa au iliyotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano: Shule bure, Hostel za Chuo Kikuu UDSM, Ufufuzi wa Shirika la Ndege Tanzania ATCL, Kukomesha Rushwa, Kupambana na Mafisadi na Wahujumu Uchumi, Upanuzi wa Barabara ya Morocco Dar Es Salaam, Ujenzi wa Barabara za Juu za TAZARA na ya Ubungo itakayokamilika hivi karibuni, Hostel za Maaskari Magereza, Kuboresha Huduma za Afya Vijijini na Mijini, Kufufua Reli, Mradi wa Reli ya Kisasa SGR, Ununuzi wa Ndege, Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere utakaotoa Mw 2115 n.k.
TUSIPOTEZE KURA ZETU MAGUFULI ANATOSHA