Kama mnavyojua ANC ni Chama rafiki wa Chama Chetu. Sasa ni zamu yetu kuwafundisha mautundu ya kushinda Kwa kishindo katika uchaguzi wao wa 2024. Kwa sasa hao ANC wamekabwa koo na DA (Western Cape yote), KwaZulu Natal na Gauteng. Yaan bila pesa kumwagwa huko itabaki Stori.