Uchaguzi mkuu TFF,Shaffih Dauda adakwa na takukuru kwa rushwa!

Shaffih Dauda anajiharibia sana na sijui ni kwanini hataki ' kutosheka ' na alichonacho. Hii si dalili njema Kwake hata kidogo na tayari ' Credibility ' yako itaanza kushuka. Mimi ninavyojua ni kwamba Mtu yoyote aliye ' smart ' hasa ' upstairs ' hawezi kutaka kujihusisha na masuala ya ' Soka ' hasa hili la Tanzania ' lililolaaniwa ' Kitambo na Mzee wetu Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ally Hassan Mwinyi.
Wabongo bhana..ushadanganywa na kuhukumu tayar..tumia akil zakuambiwa weke pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 551166

---------------------------------------------------
Wadau mbalimbali wa soka wakiwemo wagombea wa uchaguzi katika nafasi mbalimbali za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wamekamatwa jijini Mwanza.

Baadhi ya waliokamatwa ni pamoja na Mtangazaji wa Clouds FM, Shaffih Dauda, Mwenyekiti wa Chama cha Soka Dar es Salaam (DRFA), Almas Kasongo.

Imeelezwa walikamatwa jana saa tatu usiku jijini humo wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa ikiwa ni kuelekea uchaguzi huo utakaofanyika Agosti 12 mjini Dodoma.

Wengine waliokamatwa ni pamoja na Elias Mwanjale, Leonald Malongo, Effam Majinge, Osuri Kasuli, Richard Kayenzi, Lazack Juma na Kelvin Shevi.

Msemaji wa Takukuru jijini hapa, Ernest Makale amethibitishwa kukamatwa kwao na kusema wamehojiwa.

“Tumewahoji na kuwaachia kwa dhamana, sasa uchunguzi unaendelea,” alisema.

Imeelezwa watuhumiwa walisema kwamba walifika jijini Mwanza kwa ajili ya uzinduzi wa michuano ya Ndondo Cup jijini humo.
Tupa jela wezi wala rushwa hawa
Ndio wanaorudisha nyuma soka letu hawa

Sasa ndondo Cup inahusianaje na rushwa? Hao takukuru wanatapatapa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shaffih Dauda anajiharibia sana na sijui ni kwanini hataki ' kutosheka ' na alichonacho. Hii si dalili njema Kwake hata kidogo na tayari ' Credibility ' yako itaanza kushuka. Mimi ninavyojua ni kwamba Mtu yoyote aliye ' smart ' hasa ' upstairs ' hawezi kutaka kujihusisha na masuala ya ' Soka ' hasa hili la Tanzania ' lililolaaniwa ' Kitambo na Mzee wetu Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ally Hassan Mwinyi.
Ukisikia utetezi wake utajua kwamba sio yule Shaffii Dauda unayemfahamu. Eti alikwenda Mwanza kwenye maandalizi yaNdondo Cup kwa Jiji la Mwanza. Hivi MRFA hawana ofisi mpaka kikao kifanyike hotelini? Hivi yule mpiga kura wa Shinyanga na Mbeya wanahusika nini na Ndondo ya Mwanza?
 
Nimeshamdharau japo hapo mwanzo nilikuwa namuheshimu.
 
91e5c5554b69336aae03421061fb8a9c.jpg
jamaa si mstaarabu,kalimwaga povu si la kawaida kwenye blog ya saleh,kisa kuandikwa kukamatwa kwake!yan alitaka tusihabarishwe km katoa rushwa!jamaa boya sana
 
Alafu mbona jamaa anatoa povu?na istoshe Saleh Ally ni mshikaji wake kiaina why asimpigie simu?mpaka aweke kwenye social media?
Napata picha kwamba Ni kweli alitaka Ku.........
 
Back
Top Bottom