Elections 2010 Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA: Kujiandaa kuongoza?

Elections 2010 Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA: Kujiandaa kuongoza?

Chadema Chadema nini Chadema ? Maana sijaona zaidi ya malalamiko leo wamefichua hili kesho lile ,wakati hakuna hata moja linalofikia mwisho ,kwa upande wangu CHADEMA hakuna viongozi zidi ya walalamikaji sasa ni bora chama hiki kiwe upande wa mabekbencha iwe kazi yao ni kuiandama serikali tu na kufichua mambo ya siri au siri nzito yaani mambo ya kufichua siri nzito tu ,hakuna jipya ambalo linaonyesha watakuwa viongozi wazuri wa nchi hii ,tena zaidi ikiwa watakuwepo huko kwenye ngazi za juu kutakuwa na kaazi kweli maana majungu na masufuria yatakuwa yakitumika kila siku na wizi au ufisadi utakuwa wa hali ya juu maana hata ushahidi utakuwa hauna pa kuanzia.

Ukweli ndio huo kama mnavyoona hadi hii leo viongozi wao wakuu wamekuwa kama wafanyakazi wa CIA au ScortlandYard.Wanapata umaarufu kwa mambo ya kufichua fichua na sio kuongoza.
 
Kuanzia sasa yaelekea uelekeo ni kuwa na vyama viwili vikubwa vya siasa, ili tuwe na a clear alternative kwa the ruling party of the day (Currently CCM). This was a longtime cry for Tanzanians, na itasaidia uwajibikaji kwa viongozi walioko wadarakani.

Chadema increased its votes significantly in Busanda, and is expected to repeat the gains in Biharamulo.

If Chadema becomes the biggest opposition party by gaining significant Parliamentary seats in the next 2010 General Election, this will be a step forward to have a strong opposition party. The next step will not to prepare to wrest control from CCM.

It's needed 'to speak the language of the common people', tell the people how they will serve them and solve their problems.

Their biggest challenge will be to spread further throughout the country and be the representative of all Tanzanians, so as to make the perception that it only represents, and have leaders mainly people from only one region irrelevant.
 
Chadema Chadema nini Chadema ? Maana sijaona zaidi ya malalamiko leo wamefichua hili kesho lile ,wakati hakuna hata moja linalofikia mwisho ,kwa upande wangu CHADEMA hakuna viongozi zidi ya walalamikaji sasa ni bora chama hiki kiwe upande wa mabekbencha iwe kazi yao ni kuiandama serikali tu na kufichua mambo ya siri au siri nzito yaani mambo ya kufichua siri nzito tu ,hakuna jipya ambalo linaonyesha watakuwa viongozi wazuri wa nchi hii ,tena zaidi ikiwa watakuwepo huko kwenye ngazi za juu kutakuwa na kaazi kweli maana majungu na masufuria yatakuwa yakitumika kila siku na wizi au ufisadi utakuwa wa hali ya juu maana hata ushahidi utakuwa hauna pa kuanzia.

Ukweli ndio huo kama mnavyoona hadi hii leo viongozi wao wakuu wamekuwa kama wafanyakazi wa CIA au ScortlandYard.Wanapata umaarufu kwa mambo ya kufichua fichua na sio kuongoza.
Ndio kazi ya vyama vya siasa okay.
 
Kuanzia sasa yaelekea uelekeo ni kuwa na vyama viwili vikubwa vya siasa, ili tuwe na a clear alternative kwa the ruling party of the day (Currently CCM). This was a longtime cry for Tanzanians, na itasaidia uwajibikaji kwa viongozi walioko wadarakani.

Chadema increased its votes significantly in Busanda, and is expected to repeat the gains in Biharamulo.

If Chadema becomes the biggest opposition party by gaining significant Parliamentary seats in the next 2010 General Election, this will be a step forward to have a strong opposition party. The next step will not to prepare to wrest control from CCM.

It's needed 'to speak the language of the common people', tell the people how they will serve them and solve their problems.

Their biggest challenge will be to spread further throughout the country and be the representative of all Tanzanians, so as to make the perception that it only represents, and have leaders mainly people from only one region irrelevant.

Ndoto za Chimweli
 
Kuna haja ya kutaka mabadilko ya kweli na uhuru wa kweli katika siasa za Tanzania
 
Chadema Chadema nini Chadema ? Maana sijaona zaidi ya malalamiko leo wamefichua hili kesho lile ,wakati hakuna hata moja linalofikia mwisho ,kwa upande wangu CHADEMA hakuna viongozi zidi ya walalamikaji sasa ni bora chama hiki kiwe upande wa mabekbencha iwe kazi yao ni kuiandama serikali tu na kufichua mambo ya siri au siri nzito yaani mambo ya kufichua siri nzito tu ,hakuna jipya ambalo linaonyesha watakuwa viongozi wazuri wa nchi hii ,tena zaidi ikiwa watakuwepo huko kwenye ngazi za juu kutakuwa na kaazi kweli maana majungu na masufuria yatakuwa yakitumika kila siku na wizi au ufisadi utakuwa wa hali ya juu maana hata ushahidi utakuwa hauna pa kuanzia.

Ukweli ndio huo kama mnavyoona hadi hii leo viongozi wao wakuu wamekuwa kama wafanyakazi wa CIA au ScortlandYard.Wanapata umaarufu kwa mambo ya kufichua fichua na sio kuongoza.
Nia yako ni kuona nchi inaangamia we kweli unachekesha yaani unachukia watu wanaosimamia haki za watanzania waache wafanye ucia na uscort yard si umeona hata wabunge wa ccm wanawaiga
 
Hata mimi nashangaa sana kusikia haya mambo ndio maana watu makini sana watapiga kelele hadi kesho asubuhi sana
 
Hata mimi nashangaa sana kusikia haya mambo ndio maana watu makini sana watapiga kelele hadi kesho asubuhi sana

Wepi hao??
Mkuu fuatilia asili ya wanyama,mfano mbwa mpiga kelele kama yuko pekee hupiga kelele ya kujihami na kama ana bwana wake huwa anapiga kelele kumfurahisha bwana wake.

Mbwa makini huwa hapigi kelele wala kufurahisha bwana wake yeye hufanya kweli kila anapoingia ndani ya kuminane zake.
 
Waongoze nchi kwa kigezo kipi? kwa kuwa na ofisi za mikoa vijiweni, kwa kuwa na viongozi wa ngazi ya mkoa wanaoshinda vijiwezeni wanaotegemea mlo wa siku kwa baba na mama zao? kwa kuwa na viongozi wa mkoa wanaosubiri ugali wa shikamoo. it will take a long time for chadema, if not to death!

Kwa kutetea maslahi ya taifa na watu wake na kutokumbatia ufisadi. Siku za mwizi ni arobaini.
 
Tazama mambo ya kule biharamuro?? Unashangaa sana kuona Chama Tawala ambacho wao wanasema kuwa ni watu wa Amani wanaanzisha vurugu kubwa sana na hata kufikia kujeruhi watu
 
Najaribu kuunganisha hizi Docs na nitakuja kueleza kwa kina nini cha kufanya kwa wakti huu kwa ajili ya Taifa letu
 
USHAURI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI KWA ZITTO KABWE,Dr SLAA na MBOWE

Ndugu zitto nspenda kukujulisha mambo ambayo yatakisaidia chama chako cha CHADEMA kuibuka kidedea katika chaguzi zijazo na kuwanusuru WATANZANIA dhidi ya UTAPELI FISADISHI WA CCM na MATAPELI WANAOLINDWA NA CCM kwa nguvu zote. Ndugu zito /Slaa/Mbowe napenda kuwaasa yafuatayo:
(!) TETEENI KUUNDWA KWA TUME HURU YA UCHAGUZI.
Tume iliyopo sasa si huru kwa sababu Kiongozi mkuu wa tume ya uchaguzi ana chama cha tawala CCM na huchaguliwa na rais M-CCM, Kwa hiyo kuendelea na tume pandikizi ya CCM mtaendelea kuonekana watu mliopagwa. Watu wanazidi kuwashangaa nyie wasomi wazuri kabisa mliopata alama (GPA) nzuri chuo kikuu bora kuliko tapeli wetu JK, mnazidi kutapeliwa wazi wazi. Pia napenda kuwajulisha WAKURUGENZI WOTE WA HALMASHAURI ZA MIJI ambao ndio wasimamizi wa chaguzi majimboni , ambao pia hutangaza matokeo ya chaguzi za wabunge majimboni NI MATAPELI WALIOKUBUHU kwani hucheza michezo michafu ya kuhakikisha anayetangazwa ni mbunge wa CCM tu. PIA UA , NI LAZIMA AWE MBUNGE WA CCM. Hii ni kwa sababu WAKURUGENZI HAO NI WANA CCM PURE, ni wanaCCM DAMUDAMU. Pia huwqa wametishiwa na matapeli kama Makamba, Malecela kwamba wasipompitisha mbunge wa Chama Cha Matapeli (CCM) atakuwa amejifukuzisha kazi. Kwa hiyo kinachofanyika katika chaguzi za sasa ni kufuta kura za wapiga kura katiak maeneo yaliyo toa upinzani mkubwa. Ndio maana watu wakijiandikisha laki moja na nusu, utakuta MKURUGENZI AKITANGAZA KUWA WAMEPIGA KURA WATU 70 ELFU TU. Hapo vote za wapiga kura wapatao 80 elfu hivi huwa zimetupwa nje ya ulingo. Rejea uchaguzi wa Mbeya vijijini, Busanda na Biharamlo mwaka huu.
Kwa hiyo, nawaomba Zitto, Mbowe na Dr. Slaa nawaomba mpiganie kuwe na tume huru ambayo itang’oa utapeli hivyo. Msipofanya jitihada hizo za kupeleka kesi hiyo mahakamani MTAKUWA SI LOLOTE NA SI CHOCHOTE BALI NI WABABAISHAJI WAKUBWA . Mtakuwa watu wa ajabu mnaojipeleka machinjioni kwenda kuchinjwa kitu ambachohata mtu mwenye mtindio wa ubongo hawezi kufanya hivyo.
(2) UDIKITETA WA KURUGENZI ZA MANISAPA NCHINI
Sasa hivi kuna udikiteta mkubwa sana katika Manispa zote nchini. Wakurugenzi na viongozi wilayani wamekuwa matapeli na mafisadi waliokubuhu wakijivunia MLINZI WAO MATAPELI (JK). Hivyo wanajichotea fedha hovyo ovyo za miradi ya maendeleo zinazoletwa wilayani. Hivyo wanamtisha kila mfanyakazi aliyepo wilayani anapotaka kukosoa UFISADI WA SERIKALI YA AWAMU YA NNE( AWAMU YA MAFISADI). Kurugenzi ziko tayari kumfukuza kazi mfanyakazi anayelalamikia ugumu wa maisha unaosababishwa na serikali inayolinda mafisadi na kujifisadisha yenyewe. Kwa mfano , taarifa za wazi zinasemekana kuwa, wafanyakazi wa kada ya chini wana kipato kidogo sana na sio rahisi kuhusishwa kwenye mafungu ya fedha za miradi. Hivyo wanatakiwa wanyamaze tu. Akipiga kelele anaonekana kama mwiba ama kenge kwenye msafara wa mamba. Hivyo huhamishiwa porini ili kuwafanya waliobaki Manispa wanyamaze kimya . Kwa hiyo faulo yoyote ikifanywa na mkurugenzi katika kuiba kura, wanfanyakazi wote wanatakiwa wanyamaze kimya. Haya nimeyaona kwa macho yangu. KURUGENZI KAMA YA MKOA WA TABORA, SHINYANGA, MWANZA, KIGOMA, SINGIDA, DODOMA, MOROGORO, KAGERA, RUVUMA , MANYARA NA LINDI NDIZO ZINAOGOZA KWA UNYANYAPAA HUO. Mikoa hiyo ndiyo ngome za CCM, Maana licha tu ya Unyanyapaa wa manispa zilizomo humo. Vilevile ndiyo mikoa yenye watu wengi wasio na elimu ya kutosha. Ndiyo mikoa yenye wajinga wengi, ambao bado wanadai CCM ni chama cha Nyerere. Kwamba CHAMA CHA MATAPELI hawakiachi kwa ajili hiyo. Hawajui kuwa CCM ya sasa haina hata nusu chembe ya Nyerere bali imejaa MAKANJANJA FISADISHI. Kwa hiyo NDUGU ZITTO, SLAA NA MBOWE BADO MNAKAZI KUBWA YA KUINADI OPERATION SANGARA. HAIJAKOREA VIZIRU. JITAHIDINI KUINADI KWA NGUVU ZOTE KUANZIA AUGUST 2009 HADI APRILL 2010 ILI KIELEWEKE. MSILALE MPAKA KIELEWEKE. NAAMINI KAZI YENU NI NZURI.

(3) KUNDI LA WAALIMU WA SHULE ZA MIFEREJI
Kundi la waalimu wa shule za msingi ni ngome ya wizi wa kura kwa niaba ya CHAMA CHA MATAPELI. Waalimu hawa wanaibiwa maslahi yao mengi tu na CCM, yakiwamo mapunjo ya mishahara. Wanamishara hovyo licha tu ya kuwa midogo kuliko mishahara ya waalimu wenzao katika nchi za Africka mashariki. Pia wanapunjwa malipo ya rikizo ama ya uhamisho. Lakini kutokana na kuwa wengi wao ni SEMI-EDUCATED, Wamekuwa ndio wasimamizi na wezi wa kura kwa niaba ya CCM. Na mbaya zaidi vijijini, waalimu wanatishiwa na maafisa elimu wao na kuwafanya kuwa mbumbumbu hata kwenye haki zao.Kwa hiyo ndugu zitto/Slaa/Mbowe jueni kuwa wizi wa kura uko deep-rooted kiasi msicho kifikiria. MNAPOFANYA OPERATION SANGARA, KUMBUKENI TENA KUWAAHIDI WAALIMU WA SHULE ZA MSINMGI MAISHA BORA MKIINGIA IKULU. WAAMBIE KIPATO WANACHOPEWA NI UTAPELI MKUBWA.

(4) MABADILIKO YA UONGOZI
Ningewaomba mfanye mabadiliko ya uongozi wa juu wa CHADEMA. Ndugu mbowe amefa-contest mara mbili bila mafanikio. Hivyo, nawaomba mbadilishane vyeo ili ndugu Slaa ama Zitto ashike uenyekiti. Hapo mtaleta ufanisi 100% kwa sababu Mbowe naona anafaa kuja kuwa waziri mkuu katika serikali mtakayoiunda. Watu wanapenda iwe hivyo. Hii ni kwa sababu muhimu sana. Kwamba mmoja wenu anatoka katika kundi la watu ambao wako ‘’economically powerfull’’ na wameshika nafasi nyeti serikalini katika sekta zote nyeti. Hivyo wana nguvu ya kiuchumi. Kwa hiyo ukiwapa na nguvu za dola watakuwa na nguvu tatu (i)nguvu ya kiuchumi (ii)nguvu ya kidola na (iii) nguvu ya kuendelea kushika sekata nyeti .Hii ni hatari sana kwa taifa linalojiandaa kuja kujenga utawala wa haki na sheria. MSIPOFANYA HIVY MTAKUWA WASINDIKIZAJI KATIKA CHAGUZI ZOTE MILELE NA MILELE.
(4) MTOTO WA MIAKA 45
Mwasisi wa taifa hayati J.K.Nyerere, mwaka 1995 aliwakataa Lowassa na Kikwete kwa kusema kuwa Lowassa alikuwa FISADI. Utabiri wa Mwalimu umetimia hivyo vivyo kwani Lowasaa amepinduka ndani ya ngalawa ya UFISADI.
Kwa upande wa JK (KARUMEKENGE) alimwambia kuwa yeye alikuwa bado mtoto mchanga akiwa na miaka 45 tangu azaliwe!!!!!!!, mwalimu alikuwa anatutahadharisha kuwa Kikwete kichwa chake ni tupu. Maana kama ni uchanga Mwalimu aliikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni akiwa mchanga mtoto zaidi kwani alikuwa na miaka thathini na tisa tu mwaka 1961. Iweje zee lenye miaka 45 na wajukuu tele liambiwe kuwa lilikuwa bado toto changa!!!!??????. Hii ina maana Mwasisi aliona kuwa Karumekenge alikuwa hana busara wa kuongoiza nchi hata kidogo. Alikuwa ana maana kuwa Karumekenge hazimtoshi.
Kwa hiyo Ndugu zitto/mbowe/Slaa naamini kuwa mkitumia busara zetu za kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, na kuinadi vizuri operation sangara, mtafika mbali. KWANI KAMA ALIVYOTABILI MWALIMU, LOWASA NA KARUMEKENGE HAWAFIKI MBALI MAANA WALIVAA LAANA YA MWASISI WA TAIFA HILI KWA KUKATAA USHAURI WAKE-KWAMBA HAWANA BUSARA NA HEKIMA YA KUONGOZA TANZANIA NA WATANZANIA.

(6) KESI DANGANYA TOTO
Waelezeni kuwa kesi za mafisadi zilizofunguliwa hazina lolote wala si chochote isipokuwa kuwahadaa tu WABONGO waamini kuwa kinachofanyika ni cha kweli. Ikumbukwe fedha za kesi ya akina Mramba,Yona na Kigoda zina harufu ya EPA iliyompeleka KARUMEKENGE (JK)madarakani. Hivyo ni kuwandanganya tu watanzania na NCHI WAHISANI WAZIDI KUTOA MISAADA INAYOTUMIKA KUSTAWISHA NA KUNEEMESHA MAFISADI UP TO THE PRESIDENT LEVEL.

(7) WAWEKENI HADHARANI MAFISADI PAPA KWA WANANCHI
Hakika operation Sahgara naomba muiendeleze kwa kutoa sera zenu na kuyaanika wazi mafisadi papa ambayo yanafanya maisha ya watanzania kuwa magumu hasa. Baadhi ya mafisadi hao ni hawa wafuatao:
(i) A..F. Magoma Mhasibu feki SUA .
Alilip[otezea taifa hili zaidi ya Tsh millioni 21,532,000,000/-kati ya mwaka 1995 na 2009.
Pinda na Karumekenge (JK Mrisho) wnalifahamu hilo. Wamelilea na kulilinda

(ii) PROFESA PETER MSOLLA –WIZARA:SAYANSI NA TEKNOLOGIA
Kalipotezea taifa zaidi ya Tsh 30,569,176,000/- tangu akiwa SUA hadi hapo alipo.Baba wa mafisadi (JK) analifahamu hilo)i.e. Mkitaka details tunazo.

(iii) DR. JUMA NGASONGWA
Alilipotezea taifa hili zaidi ya Tsh billioni 45 kifisadi kupitia wanyama pori na misitu yetu akiwa waziri husika wakati wa awamu ya tatu
(iv) Ndugu KAPUYA
Kalipotezea taifa zaidi ya Tsh 35 billioni kwa ubia wake na mine za nzega na Arusha . Pia kwa bendi yake aliyodanganya kuwa ni ya jeshi akiwa waziri ya ulinzi.

(v) ROSTAM AZIZI
Kalipotezea taifa hili zaidi ya Tsh 546.7 billion kupitia EPA ya BOT, UBIA FISADISHI NA JAPAN, pia kupitia makampuni fisadishi e.g. Anamilki makampuni makampuni manane, lakini yale saba jina anayamilki kijasusi kwani jina lake halipo. Makampuni hayo ni haya yafuatayo:
Africa Tanneries Limited
Tanzania Leather Industries Limited
Wember Hunting Safari Limited
Tanzania Packages Manufacturers Limited
Dowans
Kamppuni ya kagoda
Isenegeja Limited(ijulikanayo kama THE NEW HAGARI LIMITED –NHL) iliyonunua Magazeti ya The African, Dimba, Bingwa, Rai, Mtanzania na chuo cha uandishi wa habari (MAMET

(vi) MEGHDI
Alilifirisi taifa zaidi ya Tsh billion 20 kwa vitalu vya uwindaji haramu vya wanyama pori akiwa waziri husika wa wizara hiyo. Pia humo ailikuwa na vitaru haramu vya familia yake pia na vya ndugu zake. Karumekenge analifahamu hilo , lakini kutokana na maslahi binafsi amekauka.

(vii) KINGUNGE NGOMBALEMWILO
Huyu amelipotezea taifa hili zaidi ya Tsh 130 billion kupitia kampuni yake ya ulinzi jijini na kampuni ya kituo cha ushuru wa mabasi ya stand ya Ubungo (UBUNGO TERMINAL) aliyohongwa na KARUMEKENGE (JK) Baada ya kufanikisha kumwingiza madarakan kuanzia faulo na rafu alizochangia kuanzia kwenye kura za maoni ambazo WALIFANIKISHA KUMG’OA NA KUMCHAFUA DR. AHAMED SALIM . Hivyo alihongwa kwanza dolla 100000/- kabla ya kuingia kwenye kinyang’anyilo cha sakata la kura za maoni. Na aliahidiwa kupewa kamuni ya ulinzi jijini na UBUNGO TERMINAL. Hivyo kingunde ni tapeli na fisadi la kutupwa.

(viii) ABDALLAH KIGODA
Kalipotezea taifa zaidi ya Tsh 6.1 trillion kwa sakata la EPA, RADA, MIKATABA MIBOVU YA MADINI, UUZAJI FISADISHI WA MASHIRIKA YA UMMA NA KUJIKABISHISHA KIWIRA AKIWA NA MRS MKAPA NA B.MKAPA.

(ix) Edward Hosea (TAKUKURU- Taasis ya kukuza na kurutubisha rushwa)
Kalipotezea taifa zaidi ya Tsh billion 298.2 kupitia kulinda RICHMOND, EPA (BOT), kuharalisha vitalu haramu vya uvunaji wanyama pori,kupitisha mikataba feki kama ya TICS, TRL, MIKATABA MIBOVU YA MADINI PAMOJA NA MADUDU MENGINE MENGI. Kanjanja hilo bado linakumbatiwana KARUMEKENGE na TARISHI WAKE (PINDA).

(x) ANDREW CHENGE
Kalipotezea taifa zaidi ya Tsh trillion 133.7 kupitia yafuatayo> EPA, RADA FEKI, NDEGE FEKI YA RAIS, MIKATABA MIBOVU YA MADINI, UUZWAJI TUPATUPA WA MASHIRIKA YA UMMA, UFICHAJI FEDHA NJE YA NCHI, KULA RUSHWA NZITO NZITO KWA MATAPELI WA KIHINDI N.K.

(xi) Karamagi,
amelipotezea taifa zaidi ya Tsh 9,824,000,000 Kwa ufisadi wa RICHMOND, DOWANS na TICS akiwa. TICS ni wazi KATUMEKENGE amejifichamo

(xii)E. Lowassa
Amelipotezea taifa zaidi ya Tsh 1,824,000,000 Kwa mwaka wake wa RICHMOND

(xiii) Msabaha
Amelipotezea taifa zaidi ya Tsh 1,824,000,000 Kwa mwaka wake wa RICHMOND

(xiv) MASHA,-wizara ya wizi wa ndani
Amelipotezea taifa zaidi ya Tsh billion 458.7 kwa kampuni yake inayodaiwa ni kampuni ya jeshi la wana na sakata la vitambulisho fisdadishi vya taifa.

(xv) Pro/ MAGHEMBE
Amelipotezea taifa zaidi ya Tsh 130,000,000/- kwa kulea wauzaji wa mitihani ya NECTA na uuzaji wa vyeti bandia. Pia ameamua kujenga taifa la mazezeta kwa kuachia mitahani iliyovuja kutahini wanafunzi. He could the most dangerous figure in our national. Cha ajabu Karumekenge akisikia hayo anacheeeeekaaaa hovyo hvoyo (hopelessly).

(xvi) WILLIAM NGEREJA:
Ameeendela kulipotezea taifa Tsh 35,561,602,550/-Kwa mwaka kupitia kukumbatia ufisadi wa mikataba mibovu ya madini, utapeli wa vigogo wa TANESCO, DOWANS, IPTL, APR, KIWIRA POWER RESOURCE, SONGAS n.k.

(xvii) BENJAMINI MKAPA
Kalipotezea taifa zaidi ya Tsh Trillion 98.5 kwa miaka yake akiwa ikulu kwa miaka 10 (1995-2005) kwa kupitia uanzishaji wa EPA,, Kampuni zake (ANGEN, fosnik, TANPOWER,) Ndege feki ya rais, RADA, utupaji wa mashirika ya umma, kushiriki mikataba mibovu ya madini kwa masrahi yake binafsi,kuweka rais pandikizi-karumekenge, kuendelea kuienzi kampuni angamizi ya ITPL

(xix) WASIRA-Waziri wa kilimo na chakula.
Alikiua kilimo tangu miaka ya sitini kwa kujali maslahi yake binafsi. Ikiwemo kula fedha ya mbolea ya ruzuku waka 2008. Sasa amekiua kilimo kwa kusambaza mbolea angamizi ya Minjingu hufanya mimea ivie ama kuzuia kukua ikichanganywa na mbolea zingine kama vile CAN, TAP, TSP,SA, UREA. Mbolea ya minjingu imewaliza wakulima wengi.

(xx) WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI/UVIVU
imeoza mpaka kwenye visigino tukisema imeoza hadi kichwani tutakosea. Hebu fikiria , Botswana ina ng’ombe millioni tatu na nusu , lakini inaingiza pato la taifa kiasi cha 80% GDP. Tanzania ina ng’ombe 18.5, lakini inaingiza pato la taifa kwa asilimia 4.9% tu. Hivi panda huoni kuwa hapo panahitaji kusambaratishwa na kuundwa upya. Kumtoa Diallo peke yake haikutosha, mimi nachukulia kuwa ilikuwa chuki ya kibinafsi kati ya diallo na bosi wako. Maana aliacha mapapa yanayotafuna fedha za walipa kodi kwa kudai wanatuma mamia ya millioni kila mwaka kudai zinakwenda kuborasha sherehe kama vile (a)maonyesho ya nane nane (b)wiki za maziwa (c)maonyesho ya sabasaba. Sehemu zingine ambazo zinatafuna fedha ni makongamano, washa na seminar zailizoanza tangu miaka ya 60 lakini hadi leo mifugo imebaki hafifu isiyokidhi soko la nje. Wafugaji wamekuwa wakimbizi ndani ya nchi yao , wakifukuzwa kila wanapokwenda bila kutengewa eneo maalumu.?. Ihefu?) na kuhamishiwa kwenyhe kanda za ndolobo kama vile Lindi ili mifugo yetu isiweze kuwa na thamani ya soko la nje. Ndugu panda unayajua haya na bosi wako. Bosi mwako akiyasikia hayo anacheeeeekaaaa kama kichaa kaokota tambala chafu jalalani. MASKINI TANZANIA UMEVAMIWA NA VIONGOZI MATAPELI, POLE SANA MTANZANIA!!!!!. Wizara hiya ameipiga HATI CHAFU MKAGUZI WA MAHESABU YA TAIFA (CAG), YAANI AMEIPIGA ZIRO. WEWE PINDA HULIONI HILO????. Kwa bahati mbaya zaidi , MAGUFULI AMEFUNGA GUFULI KWENYE MIFUGO, AMEJILKITA KWENYE KWENYE SAMAKI PEKE YAKE. NILISHANGAA SIKU MOJA KUSIKIA KUWA AMEKAMATA KOKOLO ZA UVUVI HARAMU KWENYE MADIMBWI YA SAMAKI HUKO ARUSHA. JE TUTAFIKA???.
Pia sakata la mafua ya nguruwe liloikumba Kenya si ajabu mkalisikia limeingia TZ kwa wizara hii imejaa utapeli wa hali ya juu ama ya kisaynsi chini ulinzi na utetezi wa Pinda na Karumekenge

(xxi) MKULO-GWIJI LA FEDHA
Anaendelea kupoteza zaidi ya Tsh billion 133/- kwa kushindwa kuelezea kuwa fedha hizo za EPA ziko wapi zinafanya nini. WANAZUONI wanabaini kuwa Mkulo ameamua kuunda EPA ya uchaguzi wa UCHAGUZI WA MWAKA 2010 ambapo atajumuisha na fedha aliyowaibia wacheza kamali wa DECI . Hyuyu ni fisadi al kutupwa. Pia ameshindwa kueleza mabillion ya Karumekenge yanafanya nini. Wataalamu wa kusoma nyakati wanabaini kuwa hiyo pesa imetunzwa kwa ajili ya EPA YA uchaguzi wa mwaka kesho 2010 MUNGU AKIWARUHUSU.. Anastahili kujiuzuru lakini kwa kiburi chake anasema hajiuzuru mtu. Yale yale ya MRAMBA AKIWA WAZIRI WA FEDHA

(xxii) MAPAPA/MAGWIJI WA UFISADI (PINDA NA KARUMEKENGE)
Ufisadi wote huu unasababishwa na Ndugu Pinda na Karumekenge kujihusisha na kuulinda ufisadi. Kwa mfano Pinda aliinfizwa mkenge na Mkulo katika saka la Kunyang’anya fedha ya walala hoi wa upatuDECI. Pinda aliingia kichwa kichwa.


ALL IN ALL , NDG ZITTO/MBOWE/SLAA, KAMA NI KUSIKIA MMESIKIA, KAMA NI KUSOMA UJUMBE HUU MMESOMA. KAZI KWENU.
 
Leo Shy naona umekuja kivingine lakini nahisi kama sio wewe vile wa siku zote.
Ungekuwa na mtizamo kama huu siku zote hakika ningekuwa nakupa big up sana.
 
Inawezekana.Lakini wanasiasa wote wa Tanzania wanaangalia maslahi yao binafsi kwanza. CHADEMA wanajua mbinu za CCM lakini siku zote wanasubiri miujiza ili kubadilisha kitakachojili. CCM nguvu yao ya ushindi huko vijijini ni ujinga wa wapiga kura na urahisi wa kuiba na kubadilisha matokeo. Ile Operation Sangara siyo jambo la muda, inatakiwa iendelee kama kawaida ya siku. Amsheni hao Wapori!! Ni jukumu la kila mmoja wetu kuamsha demokrasia na uraia wa nchi hii!
 
Mhh sio mchezo...nimeiona na ile barua ya wazi kwa Obama. Naona mkuu umeamua kukaza buti sasa
 
Back
Top Bottom