Uchaguzi mkuu wa JF

Uchaguzi mkuu wa JF

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
1. Rais
2. Wabunge

Majimbo yatakuwa majukwaa ya JF. Tutapendekeza majina. Hakuna kuhusisha vyama. Tunaweza chagua mwenyekiti wa kuongoza uchaguzi.. kimsingi sisi wengine tupate uongozi angalau wa mtandaoni.

Napendekeza majina yafuatayo;

Urais wa JF
1. MamaSamia2025 (fomu ni moja tu)

Ubunge Jukwaa la siasa
1. Tlatlaah
2. Lucas Mwashambwa
3. Magonjwa Mtambuka
4. Erythrocyte
5. Mshana Jr

Ubunge jukwa la mahusiano, mapenzi na urafiki
1. mzabzab
2. Mshangazi
3. dronedrake
4. Evelyn Salt
5. To yeye
 
1. Rais
2. Wabunge

Majimbo yatakuwa majukwaa ya JF. Tutapendekeza majina. Hakuna kuhusisha vyama. Tunaweza chagua mwenyekiti wa kuongoza uchaguzi.. kimsingi sisi wengine tupate uongozi angalau wa mtandaoni.
kwahiyo tupendekeze majina kabisa, huo uchaguzi utafanyika lini ili tuanze kura za maoni.

kwa kujazia napendekeza majimbo yawe majukwaa tuliyonayo kwa mfano tuwe na Mbunge toka mahusiano, michezo, tech, etc
 
Uwaziri wa starehe,raha,burudani,utamu na nyamnyam nipo hapa hakuna haja yakuchagua wakati nipo!
 
Ndiyo ndiyo. Tushauriane
 
Uwaziri wa starehe,raha,burudani,utamu na nyamnyam nipo hapa hakuna haja yakuchagua wakati nipo!
mbona umejichagulia sekta nyeti hiyo, kama uko kundi la kataa ndoa uwe na uhakika kura hazitatosha
 
Kataa ndoa ni wengi sana humu. Kwa nguvu walizo nazo wanaweza kutuwekea viongozi wa hovyo kupitia uwingi wao
 
Back
Top Bottom