MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ila mafisiemu, hadi huku? 😂1. Rais
2. Wabunge
Majimbo yatakuwa majukwaa ya JF. Tutapendekeza majina. Hakuna kuhusisha vyama. Tunaweza chagua mwenyekiti wa kuongoza uchaguzi.. kimsingi sisi wengine tupate uongozi angalau wa mtandaoni.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi awe Lucas Mwashambwa. Wewe unaonaje?Ila mafisiemu, hadi huku? 😂
kwahiyo tupendekeze majina kabisa, huo uchaguzi utafanyika lini ili tuanze kura za maoni.1. Rais
2. Wabunge
Majimbo yatakuwa majukwaa ya JF. Tutapendekeza majina. Hakuna kuhusisha vyama. Tunaweza chagua mwenyekiti wa kuongoza uchaguzi.. kimsingi sisi wengine tupate uongozi angalau wa mtandaoni.
Uwaziri wa starehe,raha,burudani,utamu na nyamnyam nipo hapa hakuna haja yakuchagua wakati nipo!1. Rais
2. Wabunge
Majimbo yatakuwa majukwaa ya JF. Tutapendekeza majina. Hakuna kuhusisha vyama. Tunaweza chagua mwenyekiti wa kuongoza uchaguzi.. kimsingi sisi wengine tupate uongozi angalau wa mtandaoni.
Angalau kolo leo umeongea cha maanaJF inageuka kuwa shule sasa.Kila kundi kwa kujuana kwao wataamua kutaka kuimiliki JF na kupeana uenyeji-kinara kama watekaji wa Bokoharam.Huu ni mwanzo endelevu tu.Hideous!🤔
Ndiyo ndiyo. Tushaurianekwahiyo tupendekeze majina kabisa, huo uchaguzi utafanyika lini ili tuanze kura za maoni.
kwa kujazia napendekeza majimbo yawe majukwaa tuliyonayo kwa mfano tuwe na Mbunge toka mahusiano, michezo, tech, etc
Bw.Kayoko acha vibweka aisee!Madini huwa natoa nikipenda mkuu.🤣🤣🤣🤣🙏Angalau kolo leo umeongea cha maana
Sasa wewe tukupe uspika au uwaziri🤣Bw.Kayoko acha vibweka aisee!Madini huwa natoa nikipenda mkuu.🤣🤣🤣🤣🙏
Siwezi hiyo kazi.Ntaanza kuwafokea mtanifurusha na ban juu.🤣🤣🤣Sasa wewe tukupe uspika au uwaziri🤣
mbona umejichagulia sekta nyeti hiyo, kama uko kundi la kataa ndoa uwe na uhakika kura hazitatoshaUwaziri wa starehe,raha,burudani,utamu na nyamnyam nipo hapa hakuna haja yakuchagua wakati nipo!
mi sitagemei kura nitapita tu!mbona umejichagulia sekta nyeti hiyo, kama uko kundi la kataa ndoa uwe na uhakika kura hazitatosha
Kataa ndoa ni wengi sana humu. Kwa nguvu walizo nazo wanaweza kutuwekea viongozi wa hovyo kupitia uwingi waombona umejichagulia sekta nyeti hiyo, kama uko kundi la kataa ndoa uwe na uhakika kura hazitatosha