Akina Nape, Januari, kinana, Makamba, Jk et al.Wale walioshiriki wizi wa kura 2015 wote wamejitoa
Tuone kama akina Msukuma, Lusinde, Ali Kesi kama wataokoa jahazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina Nape, Januari, kinana, Makamba, Jk et al.Wale walioshiriki wizi wa kura 2015 wote wamejitoa
Atasaidiwa na Mzee Ruksa labdaKwa speed na mwenendo wa Lisu ni Big Ben,Kinana, Nape na Junuary yuleee sio huyu ndio watawezana kwenye siasa za majukwaani, unless mzee wa Msoga anakibarua kizito sana.
JK si aliambiwa ana WASHWAWASHWA? Sijui itakuaje sasaUpinzani bongo ni shida tupu...mnaokoteza sana mambo....Jakaya Kikwete hana undugu na huyo Maembe
Marais wote waliotangulia ulimtoa Mwalimu waliambiwa hakuna walikofanya.JK si aliambiwa ana WASHWAWASHWA? Sijui itakuaje sasa
Dah...ni ndugu wa damu kabisa aisee...sema majina tu ndiyo tofauti [emoji2960]Upinzani bongo ni shida tupu...mnaokoteza sana mambo....Jakaya Kikwete hana undugu na huyo Maembe
Sijaelewa ulichoandika hapa. Yaani aya nzima haioneshi ujumbe wowote unaoukusudia.CCM wanaenda kukamilisha utaratibu tu ila kiuhalisia wameshashinda wala tusijidanganye hapa! Lissu tangia arudi kashatoa matamko Kama 70 Huku hakuna ata hoja moja iliyokaa ata kwenye vichwa vya washabiki wake zaidi ya nyimbo zisizo saidia taifa..
Usilete ujuaji feki kwa mambo usiyofahamuUpinzani bongo ni shida tupu...mnaokoteza sana mambo....Jakaya Kikwete hana undugu na huyo Maembe
Sijifariji nimeandika Hali halisi.Loh!!! Mambo bado usijifariji bado mapema
Ulisikia alichokinena Kikwete msibani Lupaso? Kaizika rasmi ccm chotaraMiaka yote ya Uchaguzi Mkuu CCM huwa ni full list,full mashamsham,umoja,mshikamano na kuaminiana.
Lakini hii Ni kwa Mara ya kwanza CCM inaingia kwenye uchaguzi wakiwa na pengo la Hon BW Mkapa.
BK Membe akiwa sio mmoja wao.
Abdalaman kinana akiwa mpole kabisa.
Nape Nnauye sio yule wa 2010 na 2015.
January Makamba hajulikani alipo.
Mwigulu Nchemba kapooza.
Paulo Makonda akiwa Hana mamlaka yoyote.
Na wengine wengi hawajulikani walipo.
Wapinzani wakubwa wa CCM bara CDM waliokua wako kifungoni,kifungoni Cha kisiasa wanaonekana kupata nguvu kipindi Cha lala salama,au mda wa majeruhi,hii ni baada ya Ruturn Of Tundu Lissu.
Tundu Lissu anaonekana Ni Game Changer
Mkongwe Pekee anaetegemewa kuipigania CCM kwa jasho na damu Ni JM Kikwete.
Huyu Mzee anaetegemewa kubeba mikoba ya BW Mkapa.
Mkapa aliipigania CCM kwa jasho na damu,tunakumbuka hotuba zake za ama kufungua kampeni ama kufunga kampeni alivyokua akitoa hotuba za kuchoma wapinzani.
Je JM Kikwete ataweza kuvaa viatu vya Mkapa?
Mkapa aliitetea CCM kwa nguvu zake zote,kuanzia Zanzibar kwa Mzee Sheni Hadi Mwanza Jimbo la Nyamagana.
JM Kikwete ndio Rais mstaafu pekee mwenye ushawishi ndani ya CCM baada ya Mkapa.
Je ataweza kuziba pengo la Mkapa kipindi Cha kampeni,siku ya Uchaguzi na hata kufikia mda wa kutangaza matokeo?
Sio rahisi hivyoUlisikia alichokinena Kikwete msibani Lupaso? Kaizika rasmi ccm chotaraView attachment 1528422
Baadhi ya CCM asilia watampa kura Lissu kwa machungu waliyonayo.
Kinena huu moto ni mkali hutauwezaNaona unajitekenya na kucheka mwenyewe