Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu wa kwanza CCM kukiwa kumepooza, wapinzani wachangamka dakika za majeruhi

Alitangaza elimu bure, akasifia ongezeko la uandikishaji wa wanafunzi. Lakini hakuna ajira mpya za walimu zilizotoka.
 
Kwa speed na mwenendo wa Lisu ni Big Ben,Kinana, Nape na Junuary yuleee sio huyu ndio watawezana kwenye siasa za majukwaani, unless mzee wa Msoga anakibarua kizito sana.
Atasaidiwa na Mzee Ruksa labda
 
Hivi. Wale wazee Mrema na Cheyo wakiona upinzani wa kweli umeamka wanajisikiaje?
 
Upinzani bongo ni shida tupu...mnaokoteza sana mambo....Jakaya Kikwete hana undugu na huyo Maembe
Dah...ni ndugu wa damu kabisa aisee...sema majina tu ndiyo tofauti [emoji2960]
 
CCM wanaenda kukamilisha utaratibu tu ila kiuhalisia wameshashinda wala tusijidanganye hapa! Lissu tangia arudi kashatoa matamko Kama 70 Huku hakuna ata hoja moja iliyokaa ata kwenye vichwa vya washabiki wake zaidi ya nyimbo zisizo saidia taifa..
Sijaelewa ulichoandika hapa. Yaani aya nzima haioneshi ujumbe wowote unaoukusudia.
 
Ulisikia alichokinena Kikwete msibani Lupaso? Kaizika rasmi ccm chotara
 
Muda bado unaruhusu....ngoja kwanza....japo tunahitaji jiwe liangukeee!!
 
Ccm bado wanawaza wajumbe...... πŸ˜‚πŸ˜‚

Na bado MALOFA wanawasubiri October 28πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…