Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 utafanyika kwa salama na amani bila kubadilisha aya, koma au nukta yoyote kwenye katiba au sheria ya uchaguzi Tanzania

Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 utafanyika kwa salama na amani bila kubadilisha aya, koma au nukta yoyote kwenye katiba au sheria ya uchaguzi Tanzania

Hivi huyu ndugu ni mtu wa mkoa gani

mbona uelewa wako una nipa wasi wasi sana yani hata vitu vya msingi unaweka ushabiki mbele 🙌🙌
wenye wasiwasi siku zote ni matapeli wenye imani haba gentleman,

ni muhimu sana kuhenyenta ukweli bila kificho wala kubabaika,

ni muhimu kwa upotoshaji wowote,
mathalani uliofanywa jana na kiongozi moja kibaka wa siasa Tanzania, kusahihishwa na wazalendo :pedroP:
 
Maandamano ya Mbowe yalikuwa bosheni ndiyo maana umma ukayapuuza.

Hayakuandaliwa vizuri na Mbowe mwenyewe alishapoteza ushawishi kwa umma.
kwa hiyo huyu kibaraka na kibaka wa siasa ndio atayaanda vizuri right?

ila anaomba pesa huyo dah! hataki kufanya kazi na kujitegemea kabisa :MODS:
 
no,
huo ndio ukweli gentleman,

tunakwenda kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria mwaka huu Oct. kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi iliyopo sasa kwa salama na amani, na bila kujali wala kubabaika kelele wala kubwekabweka kwa kibaka yeyote wa kisiasa nchini.

Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, Sheria na katiba hii hii itatumika kuendesha uchaguzi wa 20230 na kuendelea bila mbambamba yoyote,

Zingatia ukweli huo, utakusaidia sana kuepukana na matapeli wa kisiasa gentleman 🐒
Zimwi huyu siyo mtu
 
Back
Top Bottom