Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 utafanyika kwa salama na amani bila kubadilisha aya, koma au nukta yoyote kwenye katiba au sheria ya uchaguzi Tanzania

Hivi huyu ndugu ni mtu wa mkoa gani

mbona uelewa wako una nipa wasi wasi sana yani hata vitu vya msingi unaweka ushabiki mbele πŸ™ŒπŸ™Œ
wenye wasiwasi siku zote ni matapeli wenye imani haba gentleman,

ni muhimu sana kuhenyenta ukweli bila kificho wala kubabaika,

ni muhimu kwa upotoshaji wowote,
mathalani uliofanywa jana na kiongozi moja kibaka wa siasa Tanzania, kusahihishwa na wazalendo
 
Maandamano ya Mbowe yalikuwa bosheni ndiyo maana umma ukayapuuza.

Hayakuandaliwa vizuri na Mbowe mwenyewe alishapoteza ushawishi kwa umma.
kwa hiyo huyu kibaraka na kibaka wa siasa ndio atayaanda vizuri right?

ila anaomba pesa huyo dah! hataki kufanya kazi na kujitegemea kabisa
 
Zimwi huyu siyo mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…