Uchaguzi Mkuu wa Simba SC kesho ndiyo utakuwa kipimo changu kama wana Simba SC wana akili au ni kweli mambumbumbu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Akichaguliwa Advocate Moses Kalua nitawaona wana akili, ila akichaguliwa tu Msaliti Murtaza Mangungu nitaamini rasmi na kweli kuwa sisi wana Simba SC ni mbumbumbu (yaani hatuna akili) kabisa.

Haya kazi Kwenu wapiga kura kesho.
 
Nakushuri hamasisha vijana wenzako kesho kura nyingi Kwa Mangungu tujenge Simba yetu[emoji123]
 
Akichaguliwa Advocate Moses Kalua nitawaona wana akili, ila akichaguliwa tu Msaliti Murtaza Mangungu nitaamini rasmi na kweli kuwa sisi wana Simba SC ni mbumbumbu (yaani hatuna akili) kabisa.

Haya kazi Kwenu wapiga kura kesho.
Kwasababu wamewaona mbumbumbu ndiyo maana wamewaletea Manzoki jana eti Kuna mgombea anamtumia kama kampeni,vilabu vyetu vina wajinga wengi sana ndiyo maana jana unaona mambumbu yanashangilia kumuona mchezaji wa timu nyingine,huu ni zaidi ya Uzuzu.......... wengine wanashangilia Bus la Timu....... yaani kutawala wajinga ni rahisi sana.

KILA LA HERI KWENYE UCHAGUZI WENU
 
Akichaguliwa Advocate Moses Kalua nitawaona wana akili, ila akichaguliwa tu Msaliti Murtaza Mangungu nitaamini rasmi na kweli kuwa sisi wana Simba SC ni mbumbumbu (yaani hatuna akili) kabisa.

Haya kazi Kwenu wapiga kura kesho.
sasa ushamharibia huyo wakili unayemtaka
 
Akichaguliwa Advocate Moses Kalua nitawaona wana akili, ila akichaguliwa tu Msaliti Murtaza Mangungu nitaamini rasmi na kweli kuwa sisi wana Simba SC ni mbumbumbu (yaani hatuna akili) kabisa.

Haya kazi Kwenu wapiga kura kesho.
wewe ni wa kupelekwa moja kwa moja ICU
 
Back
Top Bottom