Uchaguzi mkuu

Uchaguzi mkuu

DERICK SHINDANO

New Member
Joined
Oct 21, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Jamani wewe una maoni gani juu ya Rais atakaye teuliwa na wananchi bila ya kuangalia itikadi ya chama?
 
Ni vema kujua sura na ukurasa mwingine ya hao waombao urais,nasikia huyu mwingine alichaguliwa kuwa waziri mkuu nakafanya miaka miwili tu,akadakwa kwa wizi.akatemwa,je tukimpa miaka mitano kama rais nchi itapona?Acha ushabiki jibu swali hili kwa kuzingatia uchaguzi tunaotaka kuufanya unahusu maisha yetu ya miaka mitano ijayo.
 
Maoni yangu,tumchague mtu mwadilifu,mtu yule ambaye eao wenyewe walimtangaza kuwa ni mwizi,hazards za bunge zinawaonyesha wakikandia kuwa lws ni mwizi,fisadi,leo uadilifu wake unapimwa kwa mizani gani! Tangu ujana wake enzi za Sokoine,mtu huyo hana uadilifu,wanaopisha wajaribu kumoitisha,mkijajuta kesho msinifuate kuniuliza.
 
Back
Top Bottom