matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Hata jamaa kwenye daladala wamesema vuguvugu ni hafifu kwa sababu upande mmoja hauna pesa.Vyama havina pesa
Kwahiyo hawana pesa ya kupeleka wasanii na kuwapelekea watu gari zabure wende kwenye mikutano na kuwatilia boda boda mafutaHata jamaa kwenye daladala wamesema vuguvugu ni hafifu kwa sababu upande mmoja hauna pesa.
Mmoja kashaanza kua chizi kwa madongo anayopewa na lisu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Boya mkubwa wewe nyoo unataka kuwakata watu stimu wasiende kungoa nduli acha hizo falaKinachofanya uonekane unakashikashi ni mitandao tu ya kijamii.
Ila huko kwenye uhalisia utadhani hatuko kwenye Uchaguzi.
Napita mitaani hakuna anayezungumzia. Ukiacha mabango ya CCM ambayo yametapakaa jiji zima LA DSM, yaani hata Bango la diwani ni kali kuliko la mgombea Rais yoyote wa upinzani hapo NATO hayaonekani, pamepoa mno.
Nilisafiri Mwanza DSM nikawa naangalia harakati za kisiasa mabarabarani sioni chochote.
Chakushangaza hata watu Wawili walipojaribu kujadili, Dereva aliongea kwa kipaza sauti kwa ukali na hofu Kubwa kukataza mjadala huo. Ila nakumbuka 2005 ndani ya treni Mwanza DSM behewa zima tulijadili hadi tukasinzia.
Cha ajabu leo kwenye daladala tulikuwa tunajadili kana kwamba huo Uchaguzi hautuhusu ni wa watu flani au nchi nyingine. Mfumo huo wa kujadili ulinishangaza hata mimi nilijishangaa. Kwanza sina hamu kabisa hata kusikia Lissu au Magufuli wanasema nini.
Najiuliza tatizo ni nini?
Je, ni uwekezaji mdogo wa rasilimalifedha?
Je, watu tumechoka siasa?
Je, siasa zimehamia online?
Je, maisha magumu hivyo kila mmoja anapambana na hali yake?
Mini maoni yako kama angalau na wewe umeona hii tofauti.
utofauti huu ndiyo ukufumbue macho na akili kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na matokeo tofauti sana klulinganisha na chaguzi zote huko nyuma.Kinachofanya uonekane unakashikashi ni mitandao tu ya kijamii.
Ila huko kwenye uhalisia utadhani hatuko kwenye Uchaguzi.
Napita mitaani hakuna anayezungumzia. Ukiacha mabango ya CCM ambayo yametapakaa jiji zima LA DSM, yaani hata Bango la diwani ni kali kuliko la mgombea Rais yoyote wa upinzani hapo NATO hayaonekani, pamepoa mno.
Nilisafiri Mwanza DSM nikawa naangalia harakati za kisiasa mabarabarani sioni chochote.
Chakushangaza hata watu Wawili walipojaribu kujadili, Dereva aliongea kwa kipaza sauti kwa ukali na hofu Kubwa kukataza mjadala huo. Ila nakumbuka 2005 ndani ya treni Mwanza DSM behewa zima tulijadili hadi tukasinzia.
Cha ajabu leo kwenye daladala tulikuwa tunajadili kana kwamba huo Uchaguzi hautuhusu ni wa watu flani au nchi nyingine. Mfumo huo wa kujadili ulinishangaza hata mimi nilijishangaa. Kwanza sina hamu kabisa hata kusikia Lissu au Magufuli wanasema nini.
Najiuliza tatizo ni nini?
Je, ni uwekezaji mdogo wa rasilimalifedha?
Je, watu tumechoka siasa?
Je, siasa zimehamia online?
Je, maisha magumu hivyo kila mmoja anapambana na hali yake?
Mini maoni yako kama angalau na wewe umeona hii tofauti.
Matatizo yalianzia - Bandari, TRA, Makontaina, na popote ambapo hela za serikali zilikuwa zinapigwa. Pia kudhibiti madawa ya kulevya, waajiriwa hewa n. k. Kati ya hela hizo haramu zilizokuwa zinapatikana, zilikuwa zinanufaisha chama fulani cha upinzani - sasa basi baada ya awamu ya tano kusafisha, chama fulani ukata umekikumba! Kuchapisha mabango ni mtihani! Kampeni nazo shida - ufisadi uliwafaidisha sana.Kinachofanya uonekane unakashikashi ni mitandao tu ya kijamii.