Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #21
Huwezi kusema karuhusu ila mazingira ndio yalitaka iwe hivyo,ili uchaguzi uwe wa haki na kuondoa sintofahamu ilibidi iwe hivyo na hilo sio la FAMFAM alikua anang'ang'ania lakini ameruhusu demokrasia ichukue mkondo wake. Uchaguzi huru na wa haki, kashindwa na kakubali matokeo, kakaa pembeni. Hutaki apongezwe kwa hilo?!