Kimboka kichimba
Member
- Nov 27, 2019
- 27
- 18
Katika hali ya siasa inayoendelea nchini, tunahitaji viongozi makini na walio tayari hata kufa kwajili ya chama, Leo sitaabdika mengi ila nitatoa mtazamo wangu katika ngazi za uongozi kitaifa.
Halimashauri kuu ni eneo ambalo bado Mbowe anahitajika sana akisaidiwa na watu makini kama Lisu, Heche, mnyika, Lema nk
Bavicha inahitaji watu makini kuliko wakati wote, tunahitaji vijana majasiri wenye usubutu ili kuvuka salama, hapa nawaona watu kama Tito Kitarika, Mdude Nyagali, Mathew Ndagile na Moses Mawazo ni watu makini sana
Bawacha ni nguzo inayohitaji watu makini kama Mdee, Matiko,Hilda Newton nk
Nitaeleza wakati mwingine juu ya hawa watu niliowataji humu haswa wale wanaoonekana ni wageni katika macho yenu.