Uchaguzi 2020 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unahitaji umakini mkubwa na hili litaacha makovu yanayohitaji uvumilivu mkubwa kwa ustawi wa chama

OMG!!!

Kumbe CDM hakuna mtu mwingine anayeweza kukiongoza chama zaidi ya nahodha huyu aliyewafikisha katika hali hii?!! Kama ndivyo, kuna chama hapo?

Sasa nimeelewa kwa nini ilibidi kusubiri watakaoachwa na CCM ili muweze kumpata miongoni mwao mgombea nafasi ya Rais.
 
Naunga mkono hoja

P

NI SHULE TOSHA.

Umeeleweka sana P; sijui kama walengwa watakuelewa.
 
OMG!!!

Kumbe CDM hakuna mtu mwingine anayeweza kukiongoza chama zaidi ya nahodha huyu aliyewafikisha katika hali hii?!! Kama ndivyo, kuna chama hapo?
Acha kutulazimisha kumpumzisha mchezaji ambaye hajachoka ili tumjaribu wa bench, chadema haipo ktk hali mbaya ila siasa ya tz ipo ktk hali mbaya cyo kwajili ya ccm imara ila kwajili ya ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya dola kama polisi.
 
Kila lakheri!
 
Kuna ushauri mzuri kutoka ccm?

Si mnasema adui yako umuombee njaa?

Ushauri wako mpelekee mkeo.
Utaambiwa wewe ni kibaraka na kuitwa majina mengine ya namna hiyo!

Waache waendelee lakini wakumbuke: mchuma janga hula na nduguze.

Nahodha kuendelea kug'ang'ania usukani wa jahazi linalozama wakati kuna fursa ya kumpisha naodha aliyemzidi ujuzi ni hatari kwa abiria na jahazi lenyewe.
 
Back
Top Bottom