OMG!!!
Kumbe CDM hakuna mtu mwingine anayeweza kukiongoza chama zaidi ya nahodha huyu aliyewafikisha katika hali hii?!! Kama ndivyo, kuna chama hapo?
Naunga mkono hoja
Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?
Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...www.jamiiforums.com
P
Acha kutulazimisha kumpumzisha mchezaji ambaye hajachoka ili tumjaribu wa bench, chadema haipo ktk hali mbaya ila siasa ya tz ipo ktk hali mbaya cyo kwajili ya ccm imara ila kwajili ya ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya dola kama polisi.OMG!!!
Kumbe CDM hakuna mtu mwingine anayeweza kukiongoza chama zaidi ya nahodha huyu aliyewafikisha katika hali hii?!! Kama ndivyo, kuna chama hapo?
Acha kutulazimisha kumpumzisha mchezaji ambaye hajachoka ili tumjaribu wa bench, chadema haipo ktk hali mbaya ila siasa ya tz ipo ktk hali mbaya cyo kwajili ya ccm imara ila kwajili ya ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya dola kama polisi.
Utaambiwa wewe ni kibaraka na kuitwa majina mengine ya namna hiyo!
Waache waendelee lakini wakumbuke: mchuma janga hula na nduguze.
Nahodha kuendelea kug'ang'ania usukani wa jahazi linalozama wakati kuna fursa ya kumpisha naodha aliyemzidi ujuzi ni hatari kwa abiria na jahazi lenyewe.