Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Wamehongana mchana kweupe kuanzia nje ya ukumbi mpaka ndani ya ukumbi.
My take kama wanaCCM wanahonga namna hii kupata udiwani tu. Je kwenye ubunge na urais?
Kwa ujumla hawapo kwa ajili ya kutumikia umma wa Watanzania. Wapo kwq ajili ya matumbo yao.