Uchaguzi ndio njia pekee ya kuwashikisha adabu viongozi wa Simba, mnaajiria kocha msaidizi ili Mgunda na Matola wakadhalilike?

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Jion hii Simba imeingia mkataba na kocha mtunisia wa kumsaidia Mbrazil Robertinho ambaye almanusura mashabiki wamzabe makofi jana pale uwanjani.

Kwa maana hiyo Juma Mgunda aliyeifikisha Simba hatua ya makundi anakwenda kuwa msaidizi namba 3, Matola namba 4.Jamani.

Hivi Simba inahitaji wingi wa makocha kweli? Lengo la kumleta huyo mwarabu maana yake Mgunda hana nafasi tena, hii ni dharau kubwa kwetu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Tuandamane haiwezekani timu ya Watanzania lakini tunakuwa kama wakimbizi kwenye timu yetu. Au unasemaje mkuu..mara waarabu, mara wahindi, mara wazungu yaan tafarani.
 
Jion hii Simba imeingia mkataba na kocha mtunisia wa kumsaidia Mbrazil Robertinho ambaye almanusura mashabiki wamzabe makofi jana pale uwanjani.

Kwa maana hiyo Juma Mgunda aliyeifikisha Simba hatua ya makundi anakwenda kuwa msaidizi namba 3, Matola namba 4.Jamani.

Hivi Simba inahitaji wingi wa makocha kweli? Lengo la kumleta huyo mwarabu maana yake Mgunda hana nafasi tena, hii ni dharau kubwa kwetu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kama viongozi hawa wakibaki,ni bora niachane na ushabiki wa hii timu.

Upumbavu wa kuleta mzungu nilijua tu timu itaanza ku struggle sana.

Na mechi ya mtani tutapelekewa moto ni zaidi ya balaa.

Kama Mbeya City iliyopigwa nyingi tu na Azam imetutoa kamasi kiasi kile,itakuwaje kwa hawa wakamiaji wa utopolo,ambao sifa yao kubwa ni kuifunga Simba tu?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Simba kweli wamepania safari hii huko CAF. Hapo mmoja anajua vizuri mbinu za Vipers, mwingine anajua vizuri mbinu za Wamorocco. Msiojua kinachoendelea tulieni ackson.

Na Robertinho amedhihirisha anaweza kupambana kimbinu na Nabi na akamshinda, binafsi sina wasiwasi na game ijayo na Yanga.
 
Jion hii Simba imeingia mkataba na kocha mtunisia wa kumsaidia Mbrazil Robertinho ambaye almanusura mashabiki wamzabe makofi jana pale uwanjani.

Kwa maana hiyo Juma Mgunda aliyeifikisha Simba hatua ya makundi anakwenda kuwa msaidizi namba 3, Matola namba 4.Jamani.

Hivi Simba inahitaji wingi wa makocha kweli? Lengo la kumleta huyo mwarabu maana yake Mgunda hana nafasi tena, hii ni dharau kubwa kwetu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Na mkitaka kuondoa ufaza na kujuana kwenye hiyo timu yenu, lazima Matola na huyo Mgunda wakatafute kazi mahali pengine. Kinyume na hapo business itakuwa ni as usual.
 
Naona muda mrefu unalia lia tu kama mtoto, kwani shida yako iko wapi?

Mgunda sio mungu, aliikuta Simba Sc na ataiacha, hivyo hivyo kwa kocha mzungu, punguza machozi yasiyo na maana.
 
Simba kweli wamepania safari hii huko CAF. Hapo mmoja anajua vizuri mbinu za Vipers, mwingine anajua vizuri mbinu za Wamorocco. Msiojua kinachoendelea tulieni ackson.

Na Robertinho amedhihirisha anaweza kupambana kimbinu na Nabi na akamshinda, binafsi sina wasiwasi na game ijayo na Yanga.
😁😁kocha uwe na mbinu kwa aina ya wachezaji kama kibu Denis na kiyombo?
 
Jion hii Simba imeingia mkataba na kocha mtunisia wa kumsaidia Mbrazil Robertinho ambaye almanusura mashabiki wamzabe makofi jana pale uwanjani.

Kwa maana hiyo Juma Mgunda aliyeifikisha Simba hatua ya makundi anakwenda kuwa msaidizi namba 3, Matola namba 4.Jamani.

Hivi Simba inahitaji wingi wa makocha kweli? Lengo la kumleta huyo mwarabu maana yake Mgunda hana nafasi tena, hii ni dharau kubwa kwetu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mwaka huu mtakuwa na kocha msaidizi nr Hadi 10, Ila mtaambulia buyu tu. A k A Kapa Kama sivyo Niko paleee nimetulia zangu
 
Mimi kinachonishangaza zaid ,sio kujaza makocha cha kushangaza zaid timu ina tatizo la viwango vya wachezaji timu ina badala ya kutibu tatzo wao wanatibu sehem isiyokua na shida
 
Back
Top Bottom