Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mnachekesha sana,eti Simba timu kubwa. Ukubwa wake ni upi au ule wa kuingia robo fainali?Wewe shida Yako ni Nini? Unawalipa wewe?
Simba ni timu kubwa acha ulimbukeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnachekesha sana,eti Simba timu kubwa. Ukubwa wake ni upi au ule wa kuingia robo fainali?Wewe shida Yako ni Nini? Unawalipa wewe?
Simba ni timu kubwa acha ulimbukeni.
Hao wazawa wote watoke hawana maana yoyote hapo SimbaJion hii Simba imeingia mkataba na kocha mtunisia wa kumsaidia Mbrazil Robertinho ambaye almanusura mashabiki wamzabe makofi jana pale uwanjani.
Kwa maana hiyo Juma Mgunda aliyeifikisha Simba hatua ya makundi anakwenda kuwa msaidizi namba 3, Matola namba 4.Jamani.
Hivi Simba inahitaji wingi wa makocha kweli? Lengo la kumleta huyo mwarabu maana yake Mgunda hana nafasi tena, hii ni dharau kubwa kwetu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app