Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kama viongozi hawa wakibaki,ni bora niachane na ushabiki wa hii timu.Jion hii Simba imeingia mkataba na kocha mtunisia wa kumsaidia Mbrazil Robertinho ambaye almanusura mashabiki wamzabe makofi jana pale uwanjani.
Kwa maana hiyo Juma Mgunda aliyeifikisha Simba hatua ya makundi anakwenda kuwa msaidizi namba 3, Matola namba 4.Jamani.
Hivi Simba inahitaji wingi wa makocha kweli? Lengo la kumleta huyo mwarabu maana yake Mgunda hana nafasi tena, hii ni dharau kubwa kwetu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Na mkitaka kuondoa ufaza na kujuana kwenye hiyo timu yenu, lazima Matola na huyo Mgunda wakatafute kazi mahali pengine. Kinyume na hapo business itakuwa ni as usual.Jion hii Simba imeingia mkataba na kocha mtunisia wa kumsaidia Mbrazil Robertinho ambaye almanusura mashabiki wamzabe makofi jana pale uwanjani.
Kwa maana hiyo Juma Mgunda aliyeifikisha Simba hatua ya makundi anakwenda kuwa msaidizi namba 3, Matola namba 4.Jamani.
Hivi Simba inahitaji wingi wa makocha kweli? Lengo la kumleta huyo mwarabu maana yake Mgunda hana nafasi tena, hii ni dharau kubwa kwetu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Acha roho mbaya weweNa mkitaka kuondoa ufaza na kujuana kwenye hiyo timu yenu, lazima Matola na huyo Mgunda wakatafute kazi mahali pengine. Kinyume na hapo business itakuwa ni as usual.
😁😁kocha uwe na mbinu kwa aina ya wachezaji kama kibu Denis na kiyombo?Simba kweli wamepania safari hii huko CAF. Hapo mmoja anajua vizuri mbinu za Vipers, mwingine anajua vizuri mbinu za Wamorocco. Msiojua kinachoendelea tulieni ackson.
Na Robertinho amedhihirisha anaweza kupambana kimbinu na Nabi na akamshinda, binafsi sina wasiwasi na game ijayo na Yanga.
Kwa hiyo ni bora Juma Mgunda awe kocha namba 3 halafu Seleman Matola awe kocha namba 4!Acha roho mbaya wewe
Mwaka huu mtakuwa na kocha msaidizi nr Hadi 10, Ila mtaambulia buyu tu. A k A Kapa Kama sivyo Niko paleee nimetulia zanguJion hii Simba imeingia mkataba na kocha mtunisia wa kumsaidia Mbrazil Robertinho ambaye almanusura mashabiki wamzabe makofi jana pale uwanjani.
Kwa maana hiyo Juma Mgunda aliyeifikisha Simba hatua ya makundi anakwenda kuwa msaidizi namba 3, Matola namba 4.Jamani.
Hivi Simba inahitaji wingi wa makocha kweli? Lengo la kumleta huyo mwarabu maana yake Mgunda hana nafasi tena, hii ni dharau kubwa kwetu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Umewaona hao tu?😁😁kocha uwe na mbinu kwa aina ya wachezaji kama kibu Denis na kiyombo?
Tangu Dubai hao wawili kocha ndio amewaaminiUmewaona hao tu?
Bado wa makipa..... Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC hao buana.Simba kunakitu akipo sawa hii sio kawaida.
Matola kocha.
Mgunda kocha.
Rabert kocha.
tena wanaleta mwingine tena kocha wa nne?,Hassan Mgosi nae katupwa wapi sijui?
Jumla timu itakua na makocha elfu arobaini😂Bado wa makipa..... Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC hao buana.