Uchaguzi sahihi wa postgraduate programe(master degree)

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,849
Reaction score
2,132
Salamu kwenu wapendwa!

Kulingana na kichwa cha uzi huu, tafadhali shauri na ikiwezekana toa na sababu.

Ni programe gani ambayo inaweza kumpatia mwanafunzi mambo muhimu yanayohusiana na kujiajiri!? Kati ya master of economics & master of enterprenuership and enterprise development.

Unaweza kushauri na nyingine, but ni muhimu iwe inatolewa na vyuo vilivyopo Dar es Salaam.

Asanteni.
 
with 1st Degree inatosha kukupa kila kitu kama ulisoma ukaelewa sio ukakremu ,,,,,2nd Degree is addition and mainly for specialization in higher level ,,,,,mambo ya to establish small business or practice what you did at University doesn't need Masters Knowledge.
 
Msc project planning and management ( mzumbe)

Aloo, mdau as if ulikuwa katika mawazo yangu. Katika pekua pekua nimeona programu inaendana na hii
kwa Udsm.. Yenyewe ni Master of Arts in project planning and management inatolewa na geography dpt.

Course zake.. Zinanitia hamasa sana.
 
with 1st Degree inatosha kukupa kila kitu kama ulisoma ukaelewa sio ukakremu ,,,,,2nd Degree is addition and mainly for specialization in higher level ,,,,,mambo ya to establish small business or practice what you did at University doesn't need Masters Knowledge.

Unaweza kuwa uko sahihi, but kiroho safi kabisa na umri niliokuwa nao.. Wakati nasoma first degree. Masuala ya kujiajirj sikuyawaza kihivyo. Focus yangu kubwa ilikuwa ni good grades na kuajiriwa.. Na nilifanikiwa. Hahaaa

But for now, nimefanya kazi kwa muda kiasi, na niko na interest kubwa sana ya kujiajiri.. Nimeshaanza project ndogo ndogo.. But nataka kupanua mawazo zaidi, kuanzisha na kuendesha project kubwa kwa ufanisi zaidi, na kuacha kazi kabisaaaaaaa.

Kwa mwajiri sitakaa nitoke mkuu, naona ntakavyoanza kusubiria kiinua mgongo kama wazee wetu waleee..
 
Kujiajiri sio lazma usome masters
 
Hvi kujiajiri napo ni mpaka mtu uwe na masters..Bakhresa au mzee mengi wana hzo masters?
 
si lazima uwe na masters.

Labda nitoe na maelezo ya ziada, hitaji la kujiajiri ni moja but zipo na sababu nyingine ambazo sijaziweka hapa.
But, dhumuni kubwa la uzi huu ni kupata maoni ya master programmes ambazo zina masomo yanayoweza kumpa mtu abc.. za masuala ya kujiajiri.

Sipingani na dhana kuwa unaweza kujiajiri hata pasipokuwa na degree ya pili. But hilo sio lengo kuu la thread hii.

Pamoja sn mkuu
 
Aloo, mdau as if ulikuwa katika mawazo yangu. Katika pekua pekua nimeona programu inaendana na hii
kwa Udsm.. Yenyewe ni Master of Arts in project planning and management inatolewa na geography dpt.

Course zake.. Zinanitia hamasa sana.
uwe makini usifikiri uzuri wa jina la kozi unaashiria kuwa yaliyomo yamo. Ni vema ukatafuta wanaosoma hizo kozi upate ukweli wa mambo. taasisi nyingi zinabuni majina mazuri ya kozi ili kuvuta tu wateja. koz content hopeless, ufundishaji hopeless. Ni ushauri tu
 
Point noted Kig. Thax mkuu.
By the way, udanganyifu wa namna hiyo hata kwa vyuo vikubwa kama mzumbe na udsm?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom