kujiajiri ni mtu mwenyewe tu atakavyoamua na kujidedicate kwenye kutafuta fursa,hata usome nini haibadilishi chochote kama wewe mwenyewe hujaamua
hata usiposoma kkujiajiri ni utashi wako
Msc project planning and management ( mzumbe)
with 1st Degree inatosha kukupa kila kitu kama ulisoma ukaelewa sio ukakremu ,,,,,2nd Degree is addition and mainly for specialization in higher level ,,,,,mambo ya to establish small business or practice what you did at University doesn't need Masters Knowledge.
Unaweza kuwa uko sahihi, but kiroho safi kabisa na umri niliokuwa nao.. Wakati nasoma first degree. Masuala ya kujiajirj sikuyawaza kihivyo. Focus yangu kubwa ilikuwa ni good grades na kuajiriwa.. Na nilifanikiwa. Hahaaa
But for now, nimefanya kazi kwa muda kiasi, na niko na interest kubwa sana ya kujiajiri.. Nimeshaanza project ndogo ndogo.. But nataka kupanua mawazo zaidi, kuanzisha na kuendesha project kubwa kwa ufanisi zaidi, na kuacha kazi kabisaaaaaaa.
Kwa mwajiri sitakaa nitoke mkuu, naona ntakavyoanza kusubiria kiinua mgongo kama wazee wetu waleee..
Hvi kujiajiri napo ni mpaka mtu uwe na masters..Bakhresa au mzee mengi wana hzo masters?
uwe makini usifikiri uzuri wa jina la kozi unaashiria kuwa yaliyomo yamo. Ni vema ukatafuta wanaosoma hizo kozi upate ukweli wa mambo. taasisi nyingi zinabuni majina mazuri ya kozi ili kuvuta tu wateja. koz content hopeless, ufundishaji hopeless. Ni ushauri tuAloo, mdau as if ulikuwa katika mawazo yangu. Katika pekua pekua nimeona programu inaendana na hii
kwa Udsm.. Yenyewe ni Master of Arts in project planning and management inatolewa na geography dpt.
Course zake.. Zinanitia hamasa sana.
uwe makini usifikiri uzuri wa jina la kozi unaashiria kuwa yaliyomo yamo. Ni vema ukatafuta wanaosoma hizo kozi upate ukweli wa mambo. taasisi nyingi zinabuni majina mazuri ya kozi ili kuvuta tu wateja. koz content hopeless, ufundishaji hopeless. Ni ushauri tu
fanya utafiti utapata ukweli wa mambo