OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 227
Ndiyo wakuu ! Nimekuwa nikisisimka na kusikia baridi pale serikali inapo piga marufuku siasa vyuoni. Je kwa ushahidi huu nikisema nyani haoni kundule ntakuwa nimekosea? Mwaka juzi rais wa chuo alikuwa Ndgu Dotto, kada wa ccm kwa mgongo wa Masha.Last year akawa Mataba,kada wa ccm ambapo Waziri wa mikopo alikuwa katibu wa ccm tawi la SAUT,MWANZA. Mwaka huu bado watu walewale,mawazo yaleyale na chama kilekile wanaomba tena ridhaa. Bahati mbaya sana Vice President to be, Madam Alice alipigwa upofu akajiunga cdm na kuchukua kadi,akagombea BAWACHA akapigwa chini huku akiwa na kadi ya ccm ili kuepuka political tsunam ambayo ime cover almost over the country. Tuna taarifa kuwa pia alienda kwa mzee wa Futui kuomba pesa ya compaign . SLOGAN YA WATANZANIA WA LEO NI KUWA "PIGA STORY CUF,KULA CCM,LALA CDM". Kama hiyo haitoshi,mafanikio ya makada hawa wa ccm mojawapo ilikuwa kupiga picha na bwana mdgo Ritz ambazo zimebandikwa kwenye kuta za ofisi ya SAUTISO. Kama hiyo haitoshi,hawa majamaa walipageuza pale SAUTISO kama pango la wezi, mali ya mjane ambayo kila ndgu wa marehemu hudai ni yake. Michango yetu na ruzuku zetu zimekuwa zikitapanywa na kulikuwa kama mchwa. Ushauri wngu tukatae kuwa mitaji ya ndgu,jamaa na watoto wa mafisadi na tuseme NO, NO,NO ENOUGH IZ ENOUGH. Kama mtaji wa ccm umeyumba vijijini,iweje sisi watu wa mjini,wasomi,watafiti na wanafalsafa tuendelee kuwa mitaji yao? Godlisten una mtaji wa umma nyuma yako,acha wao watumie pesa but wata vuna aibu. Tuli anza na Mungu ,tutamaliza na Mungu . MUNGU BARIKI M4C, MUNGU IBARIKI TANZANIA.