Uchaguzi sautiso leo ni magambaz vs cdm saut,mwanza.

Uchaguzi sautiso leo ni magambaz vs cdm saut,mwanza.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
384
Reaction score
227
Ndiyo wakuu ! Nimekuwa nikisisimka na kusikia baridi pale serikali inapo piga marufuku siasa vyuoni. Je kwa ushahidi huu nikisema nyani haoni kundule ntakuwa nimekosea? Mwaka juzi rais wa chuo alikuwa Ndgu Dotto, kada wa ccm kwa mgongo wa Masha.Last year akawa Mataba,kada wa ccm ambapo Waziri wa mikopo alikuwa katibu wa ccm tawi la SAUT,MWANZA. Mwaka huu bado watu walewale,mawazo yaleyale na chama kilekile wanaomba tena ridhaa. Bahati mbaya sana Vice President to be, Madam Alice alipigwa upofu akajiunga cdm na kuchukua kadi,akagombea BAWACHA akapigwa chini huku akiwa na kadi ya ccm ili kuepuka political tsunam ambayo ime cover almost over the country. Tuna taarifa kuwa pia alienda kwa mzee wa Futui kuomba pesa ya compaign . SLOGAN YA WATANZANIA WA LEO NI KUWA "PIGA STORY CUF,KULA CCM,LALA CDM". Kama hiyo haitoshi,mafanikio ya makada hawa wa ccm mojawapo ilikuwa kupiga picha na bwana mdgo Ritz ambazo zimebandikwa kwenye kuta za ofisi ya SAUTISO. Kama hiyo haitoshi,hawa majamaa walipageuza pale SAUTISO kama pango la wezi, mali ya mjane ambayo kila ndgu wa marehemu hudai ni yake. Michango yetu na ruzuku zetu zimekuwa zikitapanywa na kulikuwa kama mchwa. Ushauri wngu tukatae kuwa mitaji ya ndgu,jamaa na watoto wa mafisadi na tuseme NO, NO,NO ENOUGH IZ ENOUGH. Kama mtaji wa ccm umeyumba vijijini,iweje sisi watu wa mjini,wasomi,watafiti na wanafalsafa tuendelee kuwa mitaji yao? Godlisten una mtaji wa umma nyuma yako,acha wao watumie pesa but wata vuna aibu. Tuli anza na Mungu ,tutamaliza na Mungu . MUNGU BARIKI M4C, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Usomi sio kuwa chuo kikuu, Usomi ni kutumia elimu,ujuzi ,busara na kuheshimu utu wako kwa manufaa ya jamii husika. Wapo watu wamesoma na kuwa maprofessor lakini waulize wameifanyia nini jamii? Hata dreva wa daladala ana thamani. Kuuza utu kwa pesa ni afadhali ya changudoa anayeuza utu wake kwa manufaa yake binafsi.
 
Mh.Prof. Kahigi (CDM) aliyekuwa lecturer udsm na saut, hukaa kiti cha nyuma ya mbowe bungeni ni mfano wa wasomi ambao effectiveness yao kisiasani ndogo sana pamoja na kuwa msomi...Urais wa sautiso hutegemea sana na mtu anaekubalika na ofisi ya makamu mkuu wa chuo cha SAUT, vyama havina nguvu sana ktk hilo japo siasa ipo chuoni hapo.
 
someni jamani,achaneni na mambo ya siasa...

watu wanasoma political science watafanyia wapi mazoezi? Acheni mawazo ya kitoto,huna utofauti na wanaosema daktari kazi yake ni kutibu tu hana haki ya kudai na kupigania maslahi yake!
 
Acha ujinga wewe u ADA na U BBA pamoja na U Malimbe mmemaliza usilete vyama kabla ya kumaliza hilo.MIMI PRESIDAA WA SAUT
 
Back
Top Bottom