Uchaguzi Serikali ya wanafunzi SUA

Uchaguzi Serikali ya wanafunzi SUA

Mushi Eward

Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
35
Reaction score
5
Wana Jf...Baada ya kampeni za urais zilizodum kwa takribani wiki moja, leo ndo siku ya upigaji kura. Ni faraja kubwa kwa wanaharakat wenzang hapa chuon kwan kuna misururu mirefu ya wapiga kura takriban ktk vituo vyote vya kupigia kura.

Tumeshuhudia mamb mengi ktk kampeni hizo, mema na mabaya kwa ujenz wa demokrasia. Matumiz makubwa ya fedha yasiyo ya lazma ni jambo lililovuta hisia kubwa miongon mwa wanafunz.

Napend kutoingia kwa undan sana kwenye jamb hilo, kwan nitalichambua kwenye mada nyingine kwa nafasi yake. Napenda kwa leo nitathmin zoez zima la upigaj kura linalnendelea mpaka sasa.

Kuna mamb makubwa mawil nitayachambua ambayo kwa mtazamo wangu nadhani ni dosari.

1. Kuchelewa kwa muda wa kuanza upigaj kura. Kwa sababu zisizo na akil tume ya uchaguz imefungua vituo vya kupigia kura takriban xa tano asubuh badala ya saa mbili asubuh. Hil linaleta walakin kwan kwa namna moja au nyngne limesababisha kutokumalizika kwa zoez hilo hadi sasa saa 12 jion.

Ni obvious kuwa usalama wa kura kwa nyakati za usiku ni mdogo mno. Any thng can happen. Pamoja na wagombea kuwa na mawakala, ifahamike kua hata wale wenye nia ya kuchakachua wanafahm hilo na wanaumiza akil zao kuitumia hiyo "loop hole". Kama kura za ktaifa znazolndwa na askar znaibiwa, sembuse hiz za SUA..?

2. Uchache wa vituo vya kupigia kura. Ni jambo la kushangaza sehemu kama kamapas ya mazmb yeny wanachuo zaid ya 1500 kupanga folen moja ya kupiga kura. Hakukua na ulazma wa kuweka kituo kmoja. Lazma tume i admit kwamba "imechemka" kwenye hili.

3. Jambo la mwsho ni mfumo wa kutambua wenye haki ya kupiga kura unaotumika. Ni kwamb yeyote mweny kitambulsho cha chuo ana haki ya kupiga kura. Na atahakikiwa kwenye orodha ya wanafunz wote walioko kwenye kamapas husika. Pia ktk kila kituo orodha hiyo hiyo itakuwepo as long as ni ktk kampas moja.

Tatizo ni hofu ya upigaj kura zaid ya mara moja. Baadh ya Wajumbe wa tume nilioongea nao pamoja mawakala mbalmbal wamedai kuwa baada ya zoez kukamilika, majna yote yatakusanyw ili kukagua kama kuna aliyepiga kura kwenye kituo zaid ya kimoja. Sasa, je kama akabainika mtu wa namna hiyo, what wil they do? Kwan watajua kura aliyoipiga ili "waiharamishe?"

kwa mtazam wangu nadhan hapa kuna utata wa uhalal wa kura zitakazopigwa..."they might be reliable bt not valid". Tafadhal mwenye taarifa juu ya hili naomb alifafanue vzur! Nitawaletea uchambuz wangu wa kina wa uchaguz mzma baada ya zoez kukamilika.

NAWASILISHA!
 
Back
Top Bottom