Uchaguzi serikali za mitaa: Ambao hatujajiandikisha na hatuna mpango wa kujiandikisha tukutane hapa

Uchaguzi serikali za mitaa: Ambao hatujajiandikisha na hatuna mpango wa kujiandikisha tukutane hapa

Mimi nilishasema sitaka nipige kura tena, toka nipigie kura yangu ya kwanza na ya mwisho 2015, wanasiasa wote ni wanafiki tu.

Na pia ni haki yangu ya ki demokrasia kutopiga kura, ni ujinga kuchagua vitu vilivyopangwa tayari.
 
Kupiga kura haina maana nikupoteza muda tu washindi wanajulikana.

Watu wengi wameshakata taama baada yakuona uchaguzi wa 2015 na marudio ya achaguzi wa ubunge na madiwani
 
mimi nilishasema sitaka nipige kura tena, toka nipigie kura yangu ya kwanza na ya mwisho 2015....,wanasiasa wote ni wanafiki tu,,,,,,,
na pia ni haki yangu ya ki demokrasia kutopiga kura,,,,,
ni ujinga kuchagua vitu vilivyopangwa tayari,,,,
Haha boss nina hakika wapo wanasiasa ambao angalau 'wanajitahidi', hujawaona kabisa?
 
Huku tukielezana kwa nini hatujajiandikisha. Kwa upande wangu mimi naona uvivu....hivyo tu
Wale 'wazalendo' pia karibuni
Nimechelewa sehemunna nilikuwa naongea na mwenyekiti wangu wa mtaa leo kanambia kesho wanafungua na nina mpango kesho naenda jiandikisha
 
Haha boss nina hakika wapo wanasiasa ambao angalau 'wanajitahidi'.....hujawaona kabisa?
sijawaona aisee,,wanasiasa wana tuchukulia vijana kama mtaji wao.....
mara oh vijana taifa la kesho,vijana sijui nini,, vijana nitawapa ajira!!,,,,,
baada ya uchaguzi utasikia vijana jiajirini, tumia fursa ulizonazo, lazima ufikiri sijui nje ya box
pumbavu zao..........
 
Back
Top Bottom