Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha boss nina hakika wapo wanasiasa ambao angalau 'wanajitahidi', hujawaona kabisa?mimi nilishasema sitaka nipige kura tena, toka nipigie kura yangu ya kwanza na ya mwisho 2015....,wanasiasa wote ni wanafiki tu,,,,,,,
na pia ni haki yangu ya ki demokrasia kutopiga kura,,,,,
ni ujinga kuchagua vitu vilivyopangwa tayari,,,,
Nimechelewa sehemunna nilikuwa naongea na mwenyekiti wangu wa mtaa leo kanambia kesho wanafungua na nina mpango kesho naenda jiandikishaHuku tukielezana kwa nini hatujajiandikisha. Kwa upande wangu mimi naona uvivu....hivyo tu
Wale 'wazalendo' pia karibuni
sijawaona aisee,,wanasiasa wana tuchukulia vijana kama mtaji wao.....Haha boss nina hakika wapo wanasiasa ambao angalau 'wanajitahidi'.....hujawaona kabisa?
bado sijapata chama kinachoweza kunishawishi.Kwa sababu gani