Uchaguzi serikali za mitaa: Ambao hatujajiandikisha na hatuna mpango wa kujiandikisha tukutane hapa

Nmepita mahali, nikajaribu kudodosa..

Bidada ananiambia toka asubuh mpaka mida hii ( sa Kumi ) ...keshandikisha watu 11[emoji23][emoji23][emoji23]

Nmejiuliza ,leo ni siku ya mapumziko..lkn ndo hivo, je siku za Kazi???
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana labda wameshajiandikisha huo mtaa
 
Mkurugenzi wa halmashauri nikuteue mm nikulipe mshahara mm na mafuta ya gari nikuwekee mm halafu umtangaze mpinzan mshindi?!,hapo ina maana gan kwenda kujiandikisha?!,...,wajipe ushindi kwa % 99 hamna shida yetu macho ila nadhan watz wameanza mgomo baridi
 
Alisema au unajaribu tu kuelezea mambo jinsi yalivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…