Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana labda wameshajiandikisha huo mtaaNmepita mahali, nikajaribu kudodosa..
Bidada ananiambia toka asubuh mpaka mida hii ( sa Kumi ) ...keshandikisha watu 11[emoji23][emoji23][emoji23]
Nmejiuliza ,leo ni siku ya mapumziko..lkn ndo hivo, je siku za Kazi???