Uchaguzi serikali za mitaa: Ambao hatujajiandikisha na hatuna mpango wa kujiandikisha tukutane hapa

Huo muda wangu ni bora nijitolee hata kufagia barabara za mji pengine nitakumbukwa kwa kujitolea kufanya usafi
 
mimi nilishasema sitaka nipige kura tena, toka nipigie kura yangu ya kwanza na ya mwisho 2015....,wanasiasa wote ni wanafiki tu,,,,,,,
na pia ni haki yangu ya ki demokrasia kutopiga kura,,,,,
ni ujinga kuchagua vitu vilivyopangwa tayari,,,,
Ulimpigia nani mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee baba nimemsikia anawashukuru wananchi kwa kumchagua....leo eti
Yule tumsamehe tu, leo kasema anatamani harmonize akagombee ubunge tandahimba, kisa tu kamsifia kwenye ule wimbo
 
Kupanga ni kuchagua .tanzania hakuna uchaguzi ni kupeteza muda bora kipindi cha jakaya uchuguzi ilifanyika siyo sa ivi .walisha pewa amri kutangaza ccm ,uchaguzi tayari ccm mshindi
 
Nilipiga kura kwa mara ya kwanza 2015 na sitokuja kupiga tena kura
 
Siku nilipogundua kwamba wanasiasa wapo kwa ajiri ya kupiga hela tu, nikaachana na huo ujinga, nipo nahangaika na mimi nipige hela kama wao!
 
Ninapoishi na kilipo kituo cha kujiandikisha ni hatua za miguu kama 25 tu. Ila kila siku nawapita kama sijui hata wanachokifanya.
mimi kutoka kwangu hadi kituoni kwa kutembea kwa miguu ni sekunde km 25-30 lkn siwez kupoteza muda,juz kuna jirani yangu anagombea cjui ujumbe wa serikali akawa ananiita pale kituoni na kuniomba nijiandikishe ili nimpigie kura,nikamjibu tu kuwa cku ya kura ctakuwepo ila namtakia kila la heri.
 
Mimi mwenyewe naona uvivu. Atakaeshinda yeyote yule sawa tu. Hata likishinda jiwe au mchanga mie kwangu yote heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…