MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Sehemu ambazo wamepita bila kupingwa uchaguzi haujafanyika
Huku tukielezana kwa nini hatujajiandikisha. Kwa upande wangu mimi naona uvivu....hivyo tu
Wale 'wazalendo' pia karibuni
Tuko pamojaSijawahi kupiga kura tangu nitimizage umri wa miaka 18 na sina mpango huo.