Kama hujuma wanazofanyiwa Wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa hazima baraka za Kiongozi wa Nchi, nashauri yeye mwenyewe awaite viongozi wa vyama vya upinzani kisha asikilize hoja zao yeye mwenyewe ili kupata hali halisi ya mwenendo wa uchaguzi huu wa serikali za mitaa.
Kwa hatua tulipofika, yule mwenye kifua kipana amuweke pembeni kwanza, ajifunze yeye mwenyewe kutoka kwa viongozi wa upinzani.
MACHAWA hawawezi kumwambia ukweli Rais. Wataendelea tu kumdanganya kwamba hali ni shwari kumbe ni ovyo kabisa.
Hili la engua engua limeshusha sana imani ya Watanzania kwa Rais. Hata wana CCM wenyewe baadhi yao hawapendi kabisa hii habari ya engua engua.
Nawasilisha.