Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Siku ya jana niliamua kwenda kuangalia jina langu kwenye ofisi husika kama tulivyoshauriwa, nilifika kwenye ofisi na kuzikuta karatasi zenye majina zikiwa zimebandikwa ukutani. Karatasi hizo zimeandikwa kwa kalamu yenye wino hafifu kwenye karatasi ya rangi hafifu ya njano hivyo kuyafanya majina yasisomeke kirahisi! Nilishindwa kuelewa lengo la kufanya hivyo ni nini ila ninachoweza kusema ni hujuma.