Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ccm hawo hawawezi ushindani wanajua kuwa hawatoboi ndio maana hutumia njia za panya.Siku ya jana niliamua kwenda kuangalia jina langu kwenye ofisi husika kama tulivyoshauriwa, nilifika kwenye ofisi na kuzikuta karatasi zenye majina zikiwa zimebandikwa ukutani. Karatasi hizo zimeandikwa kwa kalamu yenye wino hafifu kwenye karatasi ya rangi hafifu ya njano hivyo kuyafanya majina yasisomeke kirahisi! Nilishindwa kuelewa lengo la kufanya hivyo ni nini ila ninachoweza kusema ni hujuma.
#HABARI: Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kutoka Chanika, Buguruni, Tandika na Ukonga, wamevamia ofisi za CCM, Mkoa wa Dar es Salaam kwa madai ya kutaka uchaguzi urudiwe baada ya kutokea fujo na wizi wa kura katika uchaguzi wa ndani uliofanyika hivi karibuni.Ccm hawo hawawezi ushindani wanajua kuwa hawatoboi ndio maana hutumia njia za panya.
#HABARI: Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kutoka Chanika, Buguruni, Tandika na Ukonga, wamevamia ofisi za CCM, Mkoa wa Dar es Salaam kwa madai ya kutaka uchaguzi urudiwe baada ya kutokea fujo na wizi wa kura katika uchaguzi wa ndani uliofanyika hivi karibuni.Waandaaji na wasimamizi wote ni ccm.....
Tuliwaambia toka mwanzo kushiriki/kujiandikisha huu uchaguzi ni kosa kubwaaa
Sahv kila kona upande ule wanaishia kulalamikaaa
Ova
Wameibiana mpaka wenyewe kwa wenyewe 😄#HABARI: Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kutoka Chanika, Buguruni, Tandika na Ukonga, wamevamia ofisi za CCM, Mkoa wa Dar es Salaam kwa madai ya kutaka uchaguzi urudiwe baada ya kutokea fujo na wizi wa kura katika uchaguzi wa ndani uliofanyika hivi karibuni.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow RadioOneStereo
Huu uchaguzi wa ndani viroja kila kona.#HABARI: Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kutoka Chanika, Buguruni, Tandika na Ukonga, wamevamia ofisi za CCM, Mkoa wa Dar es Salaam kwa madai ya kutaka uchaguzi urudiwe baada ya kutokea fujo na wizi wa kura katika uchaguzi wa ndani uliofanyika hivi karibuni.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow RadioOneStereo
Mchengerwa ni tapeli haswa analindwa na mama mkwe wakeSiku ya jana niliamua kwenda kuangalia jina langu kwenye ofisi husika kama tulivyoshauriwa, nilifika kwenye ofisi na kuzikuta karatasi zenye majina zikiwa zimebandikwa ukutani. Karatasi hizo zimeandikwa kwa kalamu yenye wino hafifu kwenye karatasi ya rangi hafifu ya njano hivyo kuyafanya majina yasisomeke kirahisi! Nilishindwa kuelewa lengo la kufanya hivyo ni nini ila ninachoweza kusema ni hujuma.
Ccm ni hawana akili hata za kuvukia barabara.#HABARI: Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kutoka Chanika, Buguruni, Tandika na Ukonga, wamevamia ofisi za CCM, Mkoa wa Dar es Salaam kwa madai ya kutaka uchaguzi urudiwe baada ya kutokea fujo na wizi wa kura katika uchaguzi wa ndani uliofanyika hivi karibuni.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow RadioOneStereo