Ameinamia keyboard huyo:A S angry:....Utazani anataka kuimeza!mweeh asante.
Preta umezidisha mzigo.
mweeh asante.
Preta umezidisha mzigo.
mweeh asante.
Preta umezidisha mzigo.
Ameinamia keyboard huyo:A S angry:....Utazani anataka kuimeza!
Usicheke Invisible, PJ kamuona alivoinamia keyboard. That must be the reason that the site is down. She has been tyiping non stop since last night....Ha ha ha bht,
It's now up, still making some tweaks
Mamdo anajua, si unaona kasema anaenda kulala kwa hiyo atapunguza...Kazidisha mzigo gani????!!!!
Mamdo anajua, si unaona kasema anaenda kulala kwa hiyo atapunguza...
@PJ huyu wa kwetu leo ataota kibiongo lol.
@Preta nimejaribu kulala nimeshindwa, aisee. Hebu tufanye hivyo kwa zamu. Mi ntakusimulia yanayojiri ukiamka, na ww ufanye hivyo mi nikilala
sawa kabisa naona na muda wa kuanza kuhesabu kura umewadia.....kila la heri
hahahaha Preta mbona unachekesha ina maana mida ya kuhesabu kura imeshafika ?
ndio mida yenyewe hii.....saa kumi ndio vituo vinafungwa na kura zinaanza kuhesabiwa....wewe huendi kulinda?
halafu nina wasiwasi na wewe umemchagua jirani yangu.....hebu ngoja kwanza nifanye utafiti