Elections 2010 Uchaguzi site is down, will be up soon

Elections 2010 Uchaguzi site is down, will be up soon

Status
Not open for further replies.

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Sorry guys,

The uchaguzi.or.tz site is currently down but it will be UP soon. Thanks for your understanding. Meanwhile, we will keep you posted on all events on JamiiForums
 
mweeh asante.
Preta umezidisha mzigo.
 
Ha ha ha bht,

It's now up, still making some tweaks
 
mweeh asante.
Preta umezidisha mzigo.

napunguza dia....saa hii naenda kulala kidogo maana leo nakesha mpaka nipate muafaka wa matokea na wakati huo invii atakuwa kesharekebisha site ya uchaguzi
 
Ha ha ha bht,

It's now up, still making some tweaks
Usicheke Invisible, PJ kamuona alivoinamia keyboard. That must be the reason that the site is down. She has been tyiping non stop since last night....

Thanks man, to u and your team....
 
Kazidisha mzigo gani????!!!!
Mamdo anajua, si unaona kasema anaenda kulala kwa hiyo atapunguza...

@PJ huyu wa kwetu leo ataota kibiongo lol.

@Preta nimejaribu kulala nimeshindwa, aisee. Hebu tufanye hivyo kwa zamu. Mi ntakusimulia yanayojiri ukiamka, na ww ufanye hivyo mi nikilala
 
Ni re-start bado imezidiwa!! au thithiem wamesha ichakachua nn?
 
Ni re-start bado imezidiwa!! au thithiem wamesha ichakachua nn?
Site iliyokwenda 'down' si JF; ni uchaguzi.or.tz... Nadhani hawakutarajia connections zaidi ya 1000 kwa wakati mmoja
 
Mamdo anajua, si unaona kasema anaenda kulala kwa hiyo atapunguza...

@PJ huyu wa kwetu leo ataota kibiongo lol.

@Preta nimejaribu kulala nimeshindwa, aisee. Hebu tufanye hivyo kwa zamu. Mi ntakusimulia yanayojiri ukiamka, na ww ufanye hivyo mi nikilala

sawa kabisa naona na muda wa kuanza kuhesabu kura umewadia.....kila la heri
 
hahahaha Preta mbona unachekesha ina maana mida ya kuhesabu kura imeshafika ?

ndio mida yenyewe hii.....saa kumi ndio vituo vinafungwa na kura zinaanza kuhesabiwa....wewe huendi kulinda?
 
ndio mida yenyewe hii.....saa kumi ndio vituo vinafungwa na kura zinaanza kuhesabiwa....wewe huendi kulinda?

Mama kwingine naona kama ndo wanaanza kupiga kura sidhani kama saa kumi watafunga. naenda kulinda lazima kieleweke Preta tunahitaji mabadiriko
 
halafu nina wasiwasi na wewe umemchagua jirani yangu.....hebu ngoja kwanza nifanye utafiti

Si rahisi...Najua mnaishi nae pale Daraja Tatu, lakini-heeeee. Nganashe! :A S-cry:"meti-Onyo, meti-Mbesai, Engai Engoitoi...hapati kura yangu yule chali angu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom