Mbona wewe ndiyo kichaa hujielewi ni zuzu mbweha unawezaje kumshauri watu huko CCM wakakusikiliza au wanaokusikiliza ni wapumbavu kuliko wewe?Umesahau kuongeza chagua Kichaa๐๐ Eti kuanza keaho tutembee kwa makundi yeye anadhani wote vichaa kama yeye๐๐ Mwanasheria asiyejua kuna sheria ya inayozuzuia mikusanyiko isiyo halali.
Mtizamo wako binafsi siyo mtizamo wa watanzania wengi wapenda HakiSerious lissu alikosea hesabu kumtanguliza amsterdam na the hague kwenye hii battle, wengi tunamchukulia kama dalali wao kwetu
Kwel nmeamn mtu akizeeka pia akili huzeeka
Duh...zimebaki siku chache tu...kuanzia Oktoba 29 asubuhi tutakuwa tukitangaziwa matokeo ya Kila Jimbo...Kituko wapi kwa watu wapi wamekubali uwasemee wewe? Hakuna sehemu Lisu atashindwa hata NECCCM Tumeccm waibe kura vipi, mungu kaamua CCM bye bye miaka 59 Tanzania hakuna maendeleo
SILAHA ZA CCMKuna watu humu wanajipa moyo eti CHADEMA hii ya Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Halima, Bulaya Matiko na Wenzake wanaweza kuishinda CCM ya Magufuli, Bashiru Ali, Mangula, na mfumo mzima wa Chama Cha Mapinduzi.
Kama Kuna mtu anawaza hivo na anamanisha na ana amini Mawazo yake hayo yanaweza kuwa uhalisia, basi huyo ana tatizo kubwa sana kifikira.
Uchaguzi huu CDM iliyopalaganyika ikiwa inamtegemea mtu mmoja inakwenda kupambana na:
1. Rais Magufuli
2.Chama Cha Mapinduzi.
3.Watanzania
1.Rais Magufuli
Rais Magufuli tangu aingie Madarakani amekuwa akifanya baadhi ya Mambo ambayo yanakuwa reflected Kama ya kwake.Hali hii imemfanya pengine awe maarufu kuliko hata Chama chake. Magufuli amejijengea ufalme wake ndani ya mioyo ya Watanzania, siyo lazima akubalike na wote na hakuna anayetegemea iwe hivo, lakini ukweli umaarufu wake unamfanya yeye Kama yeye apate kura ambazo atapigiwa yeye Kama Magufuli, na nyingi ni zile za wasio na Chama.
Hizi kelele za mitandaoni dhidi ya JPM ukizifatilia ni za wale wale, hata thread humu ukiangalia wale wale ndio wanakoment, lakini waulize je Mama zao, Dada zao, wajomba zao, shangazi zao, Babu zao na Bibi zao wanaijua Facebook, wanaijua JF, wanaijua tweeter au Instagram. Jibu wanalo, je hoja ya Uhuru na maendeleo ya vitu inaeleweka kwa Hawa watu. Mtu ambaye hakuwahi kuona umeme( sizungumzii Maria Sarungi Wala Fatuma Katume, na Hawa hawafiki hata 5000) leo kauona umeme unaweza kumueleza asimchague Magufuli eti kwakuwa amemnyima Uhuru wakati anaenda kanisani, anapiga simu, anaenda sokoni anaenda shambani Bila wasiwasi akakuelewa?.
2. Chama Cha Mapinduzi
Dubwasha linalotisha, Dude hatari Barani Africa, dude ambalo Lina historia ya kuwaweka viongozi kadhaa wa Afrika Madarakani. Hili dude Lina vichwa, Lina Consultants, lina rasilimali watu na fedha za kutosha, Lina uzoefu wa kutosha katika anga hii ya siasa. Halafu Kuna mtu anawaza linaweza kushindwa na mtu anaitwa Tundu Lissu.
Hebu angalia muundo was CCM kuanzia hapo kwenye mtaa unaoishi, angalia kwa sasa kwenye eneo lako la nyumbani kumi muundo wa CCM, angalia WanaCCM hao katika muundo huo katika eneo Hilo la nyumba kumi walivyojipanga na wanavyoendelea kuzisanya kura kwa ajiri ya CCM. Sasa unaona, Kuna kura za Magufuli ambazo atazipata yeye na kura ambazo Chama Cha Mapinduzi kitazipata. Hali hii iliwahi kutokea mwaka 2005 ambapo Jakaya Mrisho Kikwete yeye Kama yeye alipigiwa kura na CCM nayo ikapata kura zilivyounganishwa mkwere akapiga 80%. Lakini 2010 watu wakawa hawana hamu naye, lakini Chama Cha Mapinduzi kikamtafutia kura. Akapiga 61% Kama sikosei, hizi zilikuwa za Chama.
Najua wengi mmejaa kwenye Social Media, hamupo field, hamuoni huo muundo ulivyo hatari. CDM is no where, katika level hizi, CDM ipo mgongoni kwa Lissu. Upande mwingine Kuna CCM Kuna Magufuli na Kuna CCM.
Sasa ukiangalia hali ilivo Sasa unaona kabisa atapigiwa parefu, lakini bahati mbaya hata upande wa Wabunge Mambo ni magumu mno. Majimbo ambayo siku za nyuma yalikuwa ni hoja isiyobishaniwa Sasa mwaka huu ni hoja nzito, Pale Mbeya Sugu amekamatwa Ke....nde, na Dr. Tulia, Lema ameshikwa Pu....bu, na Gambo, hapo Arusha, Mbowe jasho linatirtika hadi kwenye meno, Mzee wa Kondoo wa bwana anapumulia Kisogo Cha Halima. CDM ni Kama wapo kwenye furushi ambalo tarehe 28 linadondoka.
3. Watanzania
Sisi tunayo Kariba ambayo tumejengewa na Mzee Baba mwenyewe, Mchonga, Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere. Ni Kariba ambayo unaweza iita utakavyo kulinga a na muono wako, Njema sana, Mbaya, woga, au uungwana.
Watanzania tunapenda Amani Bila kujali gharama yake, Watanzania ni wavumilivu bila kujali gharama, Watanzania tunapenda uungwana sana, hatupendi Shari, lakini mbaya zaidi tunayo Imani Kali kuwa Mabeberu ni watu hatari, na watu wabaya sana. Lakini sisi ni wanafiki, Watanzania ukiwa na sisi tutakueleza hivi, ukitoka tunafanya tofauti, Tunakutanguliza halafu tunasikilizia, upepo ukibadilika tunaingia mitini!
Watanzania ukishaonyesha dalili za ushari, dalili za kuleta uvunjifu wa Amani au ukajinasibisha na Mababeru, au ukasingiziwa Mambo hayo, basi sisi Watanzania tunachofanya, tunakukwepa.
Tarehe 28 Watanzania bila kujali gharama, bila kujari Lissu anaahidi nini Watamkwepa, watajiepusha naye.
Msisahau hapa sijazungumzia swala la CCM kuwa Chama Dora!!
Nimevaa ngao๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kwahiyo Magufuli akivunja Sheria na nyie mvunje, Kama ni hivo mnatofauti gani sasa na kwanini tuhangaike kuwachagua wakati ni wale wale na mnaweza mkawa wabaya zaidi maana mmeanza kuvunja Sheria hata kabla ya kuchaguliwaMbona magufuli kuwabambikia kesi kesi hujawahi kusema anavunja Sheria na katiba?
Ndefu sana. Lakini hii ndii Demokrasia ambayo wakati mwingine wajinga huamua mustakabali wa Taifa hasa pale wanapokuwa wengi.SILAHA ZA CCM
Kwa hiyo mnapojigamba mkumbuke tu kuwa ukweli hauna mjomba. CCM kushinda chaguzi imekuwa ni kwa njia haramu nyingi tu. Wao kama Taasisi na ninyi mashabiki huamini motto ya kuwa The End Justify The Means. Kwamba iwe kwa wizi wa kura, uonevu au vyovyote ushindi ukipatikana basi haki imepatikana na njia zote zilizotumika ni halali! Ninyi ni wageni wa haki na msingi wa waki, lakini kila jambo lina majira yake na muda yake. Hiki sio kipindi cha hiyo motto. Haki itachipuka na kutamalaki iwe kwa hiari au lazima, maana haki sio dhaifu bali ina nguvu.
- CCM imeendelea kutumia silaha na mbinu zile zile. Hawana haja ya kubadilisha kwa sababu kwanza zinawapa kile wanachokitaka. Pili mfumo unahitaji hizo silaha.
- UJINGA
- Miaka ya 60-70 Mwl. Aliwahi kueleza katika hotuba zake kuwa lengo la mfumo wa elimu wan chi yetu ni kuzalisha โwatiifu wasio na uwezo wa kuhojiโ na watumishi wachache. Matokeo yake yanapimika na kuonekana. Kwani mfumo wetu wa elimu umebadilika?
- Je iwapo mjinga atabaki katika hali ya ujinga, hali yake kiakili haiwi mbaya zaidi?
- Kwa waovu na wakatili, ujinga ni silaha na ambayo huitengeneza na kuitumia bila huruma.
- RUSHWA
- Umewahi kusikia au kuona watu wakilishwa nyama, pilau, soda nk katika kampeni za chaguzi?
- Uliwahi kusikia takrima ni ruksa?
- Umewahi kusikia bila kuwa na hela huwezi pata uongozi
- Uliwahi kumsikia Mwl. Nyerere akilalamika kuwa rushwa ilikuwa donda ndugu na alipoondoka likawa baya zaidi hasa ndani ya CCM?
- Umewahi kusikia au kuona wagombea wa nafasi za uongozi CCM wakilalamika kuwa rushwa ilitumika kumpitisha flan na sio wao โ na wengine wakatoa ushahidi. Lakini mwisho wake umewahi kusikia mjumbe au mgombea wa CCM (kwa uwiano) ameadhibiwa kwa kosa hilo mbele ya Mahakama ya Sheria? Kwa nini?
- VITISHO
- Umewahi kusikia vitisho vya fujo, uvunjifu wa amani kutoka CCM kwenda kwa wananchi?
- Umewahi kushuhudia vitisho nyakati za kampeni?
- Umewahi kusikia mauaji, mateso na ukatili nyakati za kampeni?
- Umewahi kusikia au kuona ukatili wa Polisi kwenye mikutano ya CCM?
- Umewahi kusikia vitisho wanavyopewa kwa watumishi wa umma au wasimamizi wa chaguzi?
- PROPAGANDA
- Umewahi kusikia wakijinasibu kuwa kuku ni wao lakini wanatumia manati na nguvu kubwa kumkamata?
- Umewahi kusikia ahadi za uchaguzi na kulinganisha na kilichofanyika?
- Umewahi kujiuliza kwanini Tanzania na Watanzania bado ni maskini kwa wingi wao ingawa kila mara mnatajiwa โmafanikio, utekelezaji wa ilani na
- Umewahi kujiuliza kwanini huduma za msingi kama maji safi, afya na elimu bado ni duni na za kiwango cha chini mpaka sasa?
- Umewahi kujiuliza na kuchunguza maisha ya wapiga kura wengi CCM hali zao ki-elimu na kiuchumi?
- Umewahi kusikia wakijisifia โMbinu za ushindiโ? Je umewahi kuzichunguza kidogo ni zipi?
- Ukweli ni kwamba hakuna Uchaguzi Huru wala wa HAKI katika mfumo na mazingira tuliyonayo. Ni rahisi kubaini na kulithibitisha hilo.
- Nitoe rai kwa wale wana CCM na mashibiki wao, waje hapa au popote kwenye majukwaa halisi (sio kwa watoto wa shule au kwa wasiojiweza kiakili (wajinga) au wenye njaa - na waseme ni kwa namna gani hilo litawezekana. Watueleze kwa nini limeshindikana katika chaguzi zote na mpaka huu wa 2020. Sio kusema TUME (NEC) au Rais kasema uchaguzi utakuwa huru iishie hapo. Hapana tafadhali! Jionee huruma na thamini utu wako.
- Huwezi kukusanya watu wasio na uwezo wa kusikia na kuelewa jambo (kwa vile mfumo wa elimu uliwajenga hivyo kwa makusudi ya watawala) uwaeleze mambo ambayo hawajui na hata baada ya kuyasema giza na upofu wa fikra umebaki jinsi ulivyokuwa. Ila wamekariri(shwa) viitikio.
- Kama ilivyo kwenye kila Nyanja muhimu mfano uchumi au elimu kuna madaraja. Kuna nchi zilizoendelea za ulimwengu wa kwanza, pili, kati na kuna nchi maskini. Kwenye Demokrasia ni hivyo hivyo. Kuna demokrasia ya kiwango cha juu mfano Marekani, UK, Israel, Uholanzi, Australia. Kuna demokrasia za kati mfano India, Korea Kusini na Brazil
- Na zenye demokrasia la chini mfano Tanzania na nchi nyingi za Africa na America Kusini. Na mbovu mfano Korea Kaskazini, China na Sudan.
- HISTORIA & UTAMADUNI
- Hakuna RAIA wa Marekani au mkazi wa Florida aliyewahi kuzamia au kutoroka kwenda Cuba kutafuta maisha bora.
- Hakuna raia wa Korea Kusini anayetorokea Korea Kaskazini, bali kuna maelfu wanaotoka Korea Kaskazini kukimbilia Kusini kila mwaka โ na wengi hukamatwa - kisha kuteswa na/au kuuwawa au kupotezwa.
- Hakuna nchi za Kijamaa zilizowahi kusaidia nchi za Kibepari! Lakini leo nenda Russia na kwenye zilizokuwa nchi za Soviet uone uhalisia.
- Maana yake ni nini? Ujamaa ni ushetani (ndio walivyosema wenyewe, ndivyo walivyotenda na ndivyo historia inasema). Ujamaa ni uovu (unajua mauaji na ukatili wa Joep Stalin? Unamjua Pol Pot wa Cambodia? Unamjua Adolf Hitler alikuwa Socialist? Unamjua Fidel Castro wa Cuba? Someni, tafuteni ukweli zaidi ya hayo yaliyoratibiwa na kutungwa kwa ustadi ambayo mnayaita elimu. Ujamaa ni mfumo katili, wa hila na ulioshindwa kumsaidia mwanadamu katika wakati wowote kuanzia kuumbwa kwa ulimwengu. Ndio!
- Achana na nadharia za kwenye vitabu na maneno ya kuvutia ya Maprofesa na Wanasiasa, nenda mbali zaidi kachunguze maisha halisi ya watu halisi katika dunia halisi. Tembeeni duniani muone. Panua wigo wako wa taarifa na elimu. Jikomboe sasa kutoka kwenye kifungo, tambua KWELI nayo itakuweka huru. Ni KWELI tu ndiyo yenye nguvu ya kukukomboa na kukuweka huru toka kwenye utumwa na nira za ujinga na ujamaa, mengine ni udanganyifu na kujilisha upepo!
- Wasivyo na hekima na ambao ni maskini wa hoja na wenye upungufu wa KWELI watashambulia na kudhihaki yaliyomo hapa bila kujibu au kupangua hizo hoja! Watapiga kelele zile zile tulizokuwa nazo wakati wa vita baridiโฆโฆhawana jipya.
- Hoja hupingwa kwa hoja. Narudia tena, Ujamaa (ambayo ni imani) ni ushetani. Na Shetani hana zawadi ya bure. AMKENI!
- Komesheni na vunjilieni mbali utamaduni haramu wa hila na uonevu wa CCM. Kila kizazi cha wanadamu kina changamoto na fursa zake. Kizazi hiki kina wajibu wa kukomesha na kungโoa mambo ya kishenzi yaliyopakwa rangi za kuvutia lakini ni mafu na ya hovyo kabisa. Maisha ni halisi, sio kuendelea kucheza na akili za watu na vijizawadi vya kupumbaza akili kwa muda mfupi wakati wa kampeni.
- SANAA & USHIRIKINA
- Vipi uliwahi kusikia Mwl. Nyerere akisema redioni jinsi alivyofanyiwa zindiko Bagamoyo ili atawale nchi hii? Sidhani kama kuna maandiko ya hotuba ile. Tafuteni.
- Umewahi kusikia vikundi vya ngoma, sanaa na muziki vikitumbuiza ili kuita nakutafuta kibali CCM nyakati za Kampeni. Zile โburudaniโ ni kuwapa faraja la uongo katika maumivu yenu.
- Zile burudani wala sio hata pain killer ni kilevi tu. Baada ya hapo maumivu yanabaki pale pale.
- Wasanii wanamuziki โ hawa wamekuwa wakitumika kwa lengo na sharti maalum ili kuleta watu, kutafuta uhalali na kibali cha wananchi na kupumbaza wengi ili kugeuza akili ziwe hisia. (Search out what happens when emotions replace thinking)
- Je umewahi kusikia au kuona kuwa nyakati za chaguzi kuwa waganga & wachawi hupata biashara kubwa zaidi? Yaani hukiita kipindi hiki kuwa cha mavuno!
- Ukiwa na viongozi wanaoenda kwa waganga na masangoma maana yake wanadhirisha kuwa hawana uwezo wala kibali cha uongozi - na wewe ukimpa kura yako basi umekubaliana na mambo ya kishenzi aliyofanya huko gizani. Kuna wakati Bunge la JMT lilikuwa na wabunge wanaosema hayo Bungeni na wengine walikuwemo mle na mnajua walitoka chama gani.
- Tawala zote dhalimu katika historia, hasa kuanzia kwa Wagiriki (Wayunani), Warumi na Wajamaa wote zinajua udhaifu wa mwanadamu kuhusu muziki na burudani za sanaa. Na kwa kulitambua hilo zimekuwa zikitumia muziki ili kuendelea kutawala na/au kupotosha fikra za wananchi wao kila wanapohitaji kufanya hivyo. Hizo burudani zao zinalenga lilo hilo.
Congrats. UmeelewekaKuna watu humu wanajipa moyo eti CHADEMA hii ya Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Halima, Bulaya Matiko na Wenzake wanaweza kuishinda CCM ya Magufuli, Bashiru Ali, Mangula, na mfumo mzima wa Chama Cha Mapinduzi.
Kama Kuna mtu anawaza hivo na anamanisha na ana amini Mawazo yake hayo yanaweza kuwa uhalisia, basi huyo ana tatizo kubwa sana kifikira.
Uchaguzi huu CDM iliyopalaganyika ikiwa inamtegemea mtu mmoja inakwenda kupambana na:
1. Rais Magufuli
2.Chama Cha Mapinduzi.
3.Watanzania
1.Rais Magufuli
Rais Magufuli tangu aingie Madarakani amekuwa akifanya baadhi ya Mambo ambayo yanakuwa reflected Kama ya kwake.Hali hii imemfanya pengine awe maarufu kuliko hata Chama chake. Magufuli amejijengea ufalme wake ndani ya mioyo ya Watanzania, siyo lazima akubalike na wote na hakuna anayetegemea iwe hivo, lakini ukweli umaarufu wake unamfanya yeye Kama yeye apate kura ambazo atapigiwa yeye Kama Magufuli, na nyingi ni zile za wasio na Chama.
Hizi kelele za mitandaoni dhidi ya JPM ukizifatilia ni za wale wale, hata thread humu ukiangalia wale wale ndio wanakoment, lakini waulize je Mama zao, Dada zao, wajomba zao, shangazi zao, Babu zao na Bibi zao wanaijua Facebook, wanaijua JF, wanaijua tweeter au Instagram. Jibu wanalo, je hoja ya Uhuru na maendeleo ya vitu inaeleweka kwa Hawa watu. Mtu ambaye hakuwahi kuona umeme( sizungumzii Maria Sarungi Wala Fatuma Katume, na Hawa hawafiki hata 5000) leo kauona umeme unaweza kumueleza asimchague Magufuli eti kwakuwa amemnyima Uhuru wakati anaenda kanisani, anapiga simu, anaenda sokoni anaenda shambani Bila wasiwasi akakuelewa?.
2. Chama Cha Mapinduzi
Dubwasha linalotisha, Dude hatari Barani Africa, dude ambalo Lina historia ya kuwaweka viongozi kadhaa wa Afrika Madarakani. Hili dude Lina vichwa, Lina Consultants, lina rasilimali watu na fedha za kutosha, Lina uzoefu wa kutosha katika anga hii ya siasa. Halafu Kuna mtu anawaza linaweza kushindwa na mtu anaitwa Tundu Lissu.
Hebu angalia muundo was CCM kuanzia hapo kwenye mtaa unaoishi, angalia kwa sasa kwenye eneo lako la nyumbani kumi muundo wa CCM, angalia WanaCCM hao katika muundo huo katika eneo Hilo la nyumba kumi walivyojipanga na wanavyoendelea kuzisanya kura kwa ajiri ya CCM. Sasa unaona, Kuna kura za Magufuli ambazo atazipata yeye na kura ambazo Chama Cha Mapinduzi kitazipata. Hali hii iliwahi kutokea mwaka 2005 ambapo Jakaya Mrisho Kikwete yeye Kama yeye alipigiwa kura na CCM nayo ikapata kura zilivyounganishwa mkwere akapiga 80%. Lakini 2010 watu wakawa hawana hamu naye, lakini Chama Cha Mapinduzi kikamtafutia kura. Akapiga 61% Kama sikosei, hizi zilikuwa za Chama.
Najua wengi mmejaa kwenye Social Media, hamupo field, hamuoni huo muundo ulivyo hatari. CDM is no where, katika level hizi, CDM ipo mgongoni kwa Lissu. Upande mwingine Kuna CCM Kuna Magufuli na Kuna CCM.
Sasa ukiangalia hali ilivo Sasa unaona kabisa atapigiwa parefu, lakini bahati mbaya hata upande wa Wabunge Mambo ni magumu mno. Majimbo ambayo siku za nyuma yalikuwa ni hoja isiyobishaniwa Sasa mwaka huu ni hoja nzito, Pale Mbeya Sugu amekamatwa Ke....nde, na Dr. Tulia, Lema ameshikwa Pu....bu, na Gambo, hapo Arusha, Mbowe jasho linatirtika hadi kwenye meno, Mzee wa Kondoo wa bwana anapumulia Kisogo Cha Halima. CDM ni Kama wapo kwenye furushi ambalo tarehe 28 linadondoka.
3. Watanzania
Sisi tunayo Kariba ambayo tumejengewa na Mzee Baba mwenyewe, Mchonga, Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere. Ni Kariba ambayo unaweza iita utakavyo kulinga a na muono wako, Njema sana, Mbaya, woga, au uungwana.
Watanzania tunapenda Amani Bila kujali gharama yake, Watanzania ni wavumilivu bila kujali gharama, Watanzania tunapenda uungwana sana, hatupendi Shari, lakini mbaya zaidi tunayo Imani Kali kuwa Mabeberu ni watu hatari, na watu wabaya sana. Lakini sisi ni wanafiki, Watanzania ukiwa na sisi tutakueleza hivi, ukitoka tunafanya tofauti, Tunakutanguliza halafu tunasikilizia, upepo ukibadilika tunaingia mitini!
Watanzania ukishaonyesha dalili za ushari, dalili za kuleta uvunjifu wa Amani au ukajinasibisha na Mababeru, au ukasingiziwa Mambo hayo, basi sisi Watanzania tunachofanya, tunakukwepa.
Tarehe 28 Watanzania bila kujali gharama, bila kujari Lissu anaahidi nini Watamkwepa, watajiepusha naye.
Msisahau hapa sijazungumzia swala la CCM kuwa Chama Dora!!
Nimevaa ngao๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐ mwingine huyoMbona wewe ndiyo kichaa hujielewi ni zuzu mbweha unawezaje kumshauri watu huko CCM wakakusikiliza au wanaokusikiliza ni wapumbavu kuliko wewe?
Mbona maneno yenu yameshazoeleka. 2014 mlikuwa mkisema JK Chama kinamfia mkononi, mnajua kilichowakuta. Mnajiita mna akili lakini Leo miaka 25 mmeshindwa kuwatoa hao wajinga Madarakani, Sasa hapa sijui mijnga ni yupi!?Wakati CHADEMA wakipoteza kila kitu ambacho kwako wewe ni Urais, Ubunge na Udiwani, sasa kaa ukijua ni muda muafaka kwa CCM kupoteza pia.
Kupoteza kwa CCM kunaeleweka na watu wenye kutumia akili tu na kwa CCM wapo wachache mno ambao hawana sehemu ya kusemea hatari hiyo kwani wamezungukwa na kundi kubwa la vipofu wanaopiga kelele nyingi mno akiwemo wewe.
Msichokijua uchaguzi huu sio mwisho wa uchaguzi au Tanzania kuishi kwenye uso wa dunia. Kama kuna jukwaa zuri kwa upinzani kujipanga basi ni uchaguzi huu mbona kwa kuwa mmeamua kutotumia akili ila nguvu zaidi basi mnaenda kuidhihirishia dunia kuwa nyingi ni maadui wakubwa wa nchi hii.
Kama CCM ingeongozwa na mtu smart basi angewekeza kwenye akili na sio nguvu, sasa Magufuli anaenda kuwaachia CCM ya wajinga wengi na hapo ndio mtatafuta shimo la kuingilia mtalikosa na kile Magufuli alichokipanda ni swala la muda tu atalipia hata akiwa Chato na mkongojo wake.
Sasa kwa akili zako tu za kuvukia barabara CCM 2015 haikupoteza? Hivi unafikiri miaka 25 ndio mwisho wa Tanzania?Mbona maneno yenu yameshazoeleka. 2014 mlikuwa mkisema JK Chama kinamfia mkononi, mnajua kilichowakuta. Mnajiita mna akili lakini Leo miaka 25 mmeshindwa kuwatoa hao wajinga Madarakani, Sasa hapa sijui mijnga ni yupi!?
Tangu 1995 kuwa ujumla wenu hamjawahi kufikisha hata wabunge 100. Swali langu ni kati yenu nyinyi ambao kwa miaka 25 mmeshindwa kuwatoa wajinga Madarakani, nani mjinga!?Sasa kwa akili zako tu za kuvukia barabara CCM 2015 haikupoteza? Hivi unafikiri miaka 25 ndio mwisho wa Tanzania?
Kwani upinzani ulianza na wabunge wangapi? Kwani mpasuko wa 2015 uliosababisha CCM kupoteza majimbo mengi ulisababishwa na nini?
Kama mnatumia akili kipi kinawafanya mhangaike na mapingamizi na sheria kandamizi kwa wapinzani tu?
Haihitajiki idadi ya wabunge CCM kuondoka madarakani, unafikiri walioondoka ilikuwa idadi ya wabunge?Tangu 1995 kuwa ujumla wenu hamjawahi kufikisha hata wabunge 100. Swali langu ni kati yenu nyinyi ambao kwa miaka 25 mmeshindwa kuwatoa wajinga Madarakani, nani mjinga!?