NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Uchaguzi huo ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927. Ilikuwa ni uchaguzi wa raisi na mshindi akawa Charles D.B. King wa chama cha True whig ambapo alichaguliwa kwa kipindi cha tatu. Alimshinda Thomas J.Faulkner wa chama cha Peoples Party General elections.
Uchaguzi huo ulichukuliwa na aliyekuwa kamishna wa uchaguzi wa nchi hiyo wa miaka ya karibu ya dunia ya kisasa wa Liberia bwana Francis Johnson- Morrison kuwa ulikuwa ni uliokuwa na utata kuwahi kutokea duniani na akafanya uiingizwe kwenye kitabu cha maajabu ya dunia cha Guinness book. Alisema ni uchaguzi ambao haujawahi tokea duniani.
Ni kwamba waliojiandikisha walikuwa raia 15,000 lakini bwana King alishinda kwa kishindo cha kura 243,000 kulinganisha na kura alizopata mpinzani wake 9000.
Ukichukulia namba hiyo juu ukaikubali ni kuwa kama sasa raia ni 252,000 maana yake King alipata asilimia 96% mwenzake 4% 96+4=100
Ukichukulia kwa mahesabu mapya kiuhalisia ni kwamba 243000 walipiga gawanya kwa idadi ya watu 15,000 unakuja na jibu King waliibuka na ushindi wa asilimia 1620% dhidi ya mwanzake 6% kitu achacho kimahesabu hakiji kabisa. 1620+6=1626%.Kimahesabu lazima namba ikijumliswa kiasilimia ile 100.
Ikumbukwe kwa miaka hiyo nchi ya Liberia haikuwa na idadi kubwa ya watu kutokana na athari za utumbwa kwa maana kura alizopata mshindi zilizidi idadi ya raia.
Aliyeshindwa kwenye uchaguzi Faulkner alikata rufaa na kuilaumu serikali kwa kutumia wafungwa wa kulazimishwa waliokuwa kwenye Coloni la wa hispania la visiwa vya Fernando Po na kutumia jeshi.
Umoja wa mataifa uliunda kamati maalum ya kuchunguza madai ya wafungwa wa kulazimishwa na ikumbukwe wakati huo biashara ya watumwa ilishapigwa marufuku.The league of nations ulimteua bwana Cuthbert Christy kuchunguza madai hayo ya wafungwa na wafungwa wa kulazimishwa kuangalia madai hayo
Raisi wa Marekani Herbert Hoover alisimamisha mara moja uhusiano na Liberia na baraza la wawakilishi mara moja lilianza uchunguzi na ilikuwa Liberia iweke chini ya udhamini wa umoja wa mataifa kama ilivyokuwa kwa sisi Tanzania.
Hata hivyo kabla ya uchunguzi kuanza kumshitaki King alijiuzulu haraka sana mwaka 1930 na nafasi yake kuchukuliwa na Edwin Barclay.