UCHAGUZI TFF: Rais bora kabisa Jamal Malinzi kuendelea na wadhifa wake

Nihelii apite yeyote kuliko malinzi kipindi alipogombea awamu yakwanza. Alitoa ahadii chungu nzima akatujaza imanii tukawa naimani nae lakini alipoingia tulichona ni madeni na maamuzi. Yahovyoo
 
Posho ameshawapa?
Nyie ma stomach defender
Andikeni maendeleo aliyoyaleta Jamal
 
Naona mnakuja kwa kasi kwa hiyo sasa iv ndo mnaona malinzi anafaa posho tayari nn?
 
Anafaa sana tena. Amefanya kwa kiasi kikubwa, let give him another term to finish his plans! Tuache mambo ya uroho! Mpe muda amalizie kazi aliyoianza.
Teacher can teach but students refuse to learn! kwa msenmo huo amejitahidi sana, kama umenielewa.
 
Swali siyo kafanikiwa wapi,bali ni wapi hajafanikiwa? Viva Jamal Emily Malinzi.
Anafaa sana tena. Amefanya kwa kiasi kikubwa, let give him another term to finish his plans! Tuache mambo ya uroho! Mpe muda amalizie kazi aliyoianza.
Teacher can teach but students refuse to learn! kwa msenmo huo amejitahidi sana, kama umenielewa.
 
Yaani mikia haieleweki nini inataka na mwaka huu tumeyabana kotekote,hapa Malinzi,pale Mayai kule Madega.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Anafaa sana tena. Amefanya kwa kiasi kikubwa, let give him another term to finish his plans! Tuache mambo ya uroho! Mpe muda amalizie kazi aliyoianza.
Teacher can teach but students refuse to learn! kwa msenmo huo amejitahidi sana, kama umenielewa.
 
Ww kweli retired ili aendelee kuibeba Yanga co?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…